RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Ilo sio tatizo maana sie wa dar tunaongozwa na zerowakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe kinakuja wakati hizo page zikipost habari yeyote watanzania wanakomenti.. SAMATTA,mara SAMAGOOL.mara CHAMPION BOY, wakati post za ile timu zinatolewa kwa kibeligiji na KINGEREZA,, kuna wabongo wanaweka mpaka matusi kwenye zile page,jamani watanzania tubadirike tunamuaibisha mwenzetu.
Ajuza Mange Kimambi effect!!wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe kinakuja wakati hizo page zikipost habari yeyote watanzania wanakomenti.. SAMATTA,mara SAMAGOOL.mara CHAMPION BOY, wakati post za ile timu zinatolewa kwa kibeligiji na KINGEREZA,, kuna wabongo wanaweka mpaka matusi kwenye zile page,jamani watanzania tubadirike tunamuaibisha mwenzetu.
natoa hadi matusi mkuu unakuta wanapost kuhusu ununuzi wa tiketi wao wanaandika samattaKama lengo la ujumbe wao umfikie Samatta acha waandike hata kizaramo sioni tatizo kama wao ambavyo wanaandika kibelgiji kwa nini tukae kimya kisa hatujui kiingereza na kibelgiji wakati tunamkubali kijana wetu.
huyo hana akiri sijui atazikwa USA maana zipati picha akitua bongoAjuza Mange Kimambi effect!!
Huko ndiko iliko kozi ya kupotomosha matusi
aibu hadi keroMi nimeona, yaani aibu naona mimi kaka. Sasa sijui ukosefu wa elimu au ufala tu. Malofa wengi kweli kweli kwenye hii internet shwaini.
Ajuza Mange Kimambi effect!!
Huko ndiko iliko kozi ya kupotomosha matusi
wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe kinakuja wakati hizo page zikipost habari yeyote watanzania wanakomenti.. SAMATTA,mara SAMAGOOL.mara CHAMPION BOY, wakati post za ile timu zinatolewa kwa kibeligiji na KINGEREZA,, kuna wabongo wanaweka mpaka matusi kwenye zile page,jamani watanzania tubadirike tunamuaibisha mwenzetu.
kuna lugha ya kibeligiji kweli, au wewe sio wa sayari hii!!?wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe kinakuja wakati hizo page zikipost habari yeyote watanzania wanakomenti.. SAMATTA,mara SAMAGOOL.mara CHAMPION BOY, wakati post za ile timu zinatolewa kwa kibeligiji na KINGEREZA,, kuna wabongo wanaweka mpaka matusi kwenye zile page,jamani watanzania tubadirike tunamuaibisha mwenzetu.
huijui? ingia web ya genk acha uvivukuna lugha ya kibeligiji kweli, au wewe sio wa sayari hii!!?
na number1Samatar nae star wa tz
Belgium wanatumia, kijeruman, kifaransa na kidachi acha ubishi wa kitoto!!huijui? ingia web ya genk acha uvivu
hiyo wanapost kwa kijerumani afu kifaransa afu kidachi hii kaliBelgium wanatumia, kijeruman, kifaransa na kidachi acha ubishi wa kitoto!!
mbona hapo Rwanda bungeni unaweza kutumia kiingereza, kifaransa, kiswahili au kinyarwanda. zote ni oficial languages !! usibishe kitu usichojua hskuna lugha ya kibeligiji.haaaaa kwa
hiyo wanapost kwa kijerumani afu kifaransa afu kidachi hii kali