Watanzania acheni kumdharirisha Samatta kwenye mitandao ya kijamii ya Genk

p
mbona hapo Rwanda bungeni unaweza kutumia kiingereza, kifaransa, kiswahili au kinyarwanda. zote ni oficial languages !! usibishe kitu usichojua hskuna lugha ya kibeligiji.
itia kwenye web za genk utajua kila nchi wana lugha zao
 
Sasa hivi naenda kuchafua ukurasa wa Genk, huwezi kutupangia tumpendaje mwanetu mtoto wa Mbagala...
 
wa

natoa hadi matusi mkuu unakuta wanapost kuhusu ununuzi wa tiketi wao wanaandika samatta
Ili mradi wanaandika kwa Kiswahili basi alhamdullillah manake Wabelgiji watadhani wanaandika "...nunua tiketi ukamshuhudie Samatta!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…