Watanzania acheni wenge fungeni mdomo mtandaoni

Watanzania acheni wenge fungeni mdomo mtandaoni

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Yani ukifwatilia page ya wachezaji wa Uganda unakuta Watanzania wanawaambia wachezaji wa Uganda wawaachie washinde ili wana East Africa waende Afcon mimi naona Uganda wanajua kuwa wanaweza wasikaze sana hii match ila Watanzania punguzeni viherehere bora ata mngekuwa mnacomment comment zakujinasibu kuwa Uganda hamtatoka Uwanja wa taifa lazma mfungwe.

Nashauri comment ziwe zakujigamba kuwa tutawafunga kuliko zakusema oh! sijui sisi ni ndugu oh! sijui sisi ni wana Afrika Mashariki oh! sijui Juuko jifunge au sababisha penati
 
Acheni UGANDA wajitutumue mpaka mwisho, hata tukishinda tumeshinda kiume, naona kuna dalili hata tukishinda kwa mbinde itaonekana tumepewa au ni rushwa imetumika... Tusipende mteremko sana hard work outsmart talent...

Happiness is a lifestyle
 
Back
Top Bottom