The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tanzanian tukiendelea na kulala huku tukisikiliza ngonjera za CCM.
Tutatengeneza familia maskini kupindukia huku familia za wanasiasa mambo yao yakiwa mazuri.
MTU akikunyima hela kakunyima Uhuru utabaki mtumwa na ombaomba kila siku.
Yale yanayoendelea Nchini na Majibu yanayotolewa na CCM ni utoto mwingi.
Kiufupi nchi ya Tanzania wanaofaidi ni wanasiasa wengine mnabaki kushangilia tu.
Bila katiba mpya na watu kuamua kubadilika tunasafari ndefu sana katika kulikomboa Taifa kutoka Kwa wanyang'anyi CCM.