Watanzania amkeni CCM haiko serious na maisha yenu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Tanzanian tukiendelea na kulala huku tukisikiliza ngonjera za CCM.

Tutatengeneza familia maskini kupindukia huku familia za wanasiasa mambo yao yakiwa mazuri.

MTU akikunyima hela kakunyima Uhuru utabaki mtumwa na ombaomba kila siku.

Yale yanayoendelea Nchini na Majibu yanayotolewa na CCM ni utoto mwingi.

Kiufupi nchi ya Tanzania wanaofaidi ni wanasiasa wengine mnabaki kushangilia tu.

Bila katiba mpya na watu kuamua kubadilika tunasafari ndefu sana katika kulikomboa Taifa kutoka Kwa wanyang'anyi CCM.

Your browser is not able to display this video.
 
Idadi ya wajinga Tanzania ni kubwa mno..

Watanzania wamesha ridhika na umaskini na ujinga.

Na siku zote mjinga akibaki mjinga, Wajanja na werevu wanakula Mema ya nchi..

Make them ignorant, while giving them a piece of their rights...
 
Hatujachelewa, viongozi wetu ni wepesi sana tukiamua haitapita wiki 2 serikali ipo chali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…