Watanzania bana, msanii aingia matatani kisa ameigiza kuhusu Corona, yaani EDUTAINMENT

Yule Dc hajitambui
 

Ni Kweli Edutainment ni kati ya aina ya upashaji habari! Lakini wakati ambao dunia nzima inasimanzi ya maafa ya COVID - 19 Mtu anakuja na mizaha ambayo faida yake ni ndogo ukilinganisha na hasara! Uamuzi wa Mkuu wa Wilaya upo sawa sio kila jambo waweza fanyia Utani hasa ukilinganisha majira na nyakati tulizo nazo!

Hii ni sawa na ule utani wa makabila! Mjaluo Vs Mnyiramba, Msukuma Vs Mngoni, Mnyamwezi na Mgogo.Ikifika wakati Mtu uvumilivu huwa unamshinda na kugadhabika na kufikia hata kumdhuru mtani wake hasa yanapokuja maswala ya Misiba na Ugonjwa.

Huu ni wakati wa Kuelimisha Watu waelewe janga hili vema na kuweza kujikinga au kuchukua tahadhari sahihi.
Mtindo anaouliza hayo maswali ni wakijinga kabisa!

Masanja Mkandamizaji anaburudhisha ni Sawa! Lakini aangalie hali Mazingira ya jambo analotaka kuburudisha watu.
 
The bottleneck is always at the top. Leaders badala ya ku provide guidance wamegeuka kikwazo .
 

Tafuta nini maana ya EDUTAINMENT, kuna jinsi ya kuelimisha jamii huku ukiwachekesha kiutani utani.
 
Tafuta nini maana ya EDUTAINMENT, kuna jinsi ya kuelimisha jamii huku ukiwachekesha kiutani utani.

Inaonekana Neno EDUTAINMENT hujalielewa vizuri :- Entertainment that is intended to be educational.
Sasa Hapo Masanja alikuwa anaburudisha na kuelimisha kweli? Fuatilia Basi hata Vipindi vya Edutainment vya Nchi zingine uone wanavyofanya Hizo Episodes. kwa mfano Kenya kuna Ubongo Learning na nk.
Masanja anaburudisha Watazamaji au wale anaowafanyia interview? Masanja anachofanya ni "Teasing People on the street".
Aendelee na kufanya Hiyo ambayo wewe unaiiita "Edutainment" Lakini si wakati huu na kwa jambo hilo la COVID -19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…