Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Bongo yetu hata kimemo tu kikitoka kwenye Ofisi ya Ubalozi ya Muzungu tunaanza kutafutana, mtu akiandika maoni yake kuhusu nchi yetu kwa jinsi aonavyo yeye kwenye Magazeti ya Muzungu tena hata siyo main page kwenye vijikurasa vya ndani huko nchi nzima tunatetemeka na kuanza kujadili, I mean hivi siku kama Raisi wa USA akisimama na kuitaja nchi yetu live kwa ubaya hiyo siku si tutajamba cheche na hata kuzirahi kwa uoga?
Kuna nchi kila siku zinaandikwa na Muzungu kwa ubaya kwa jinsi aonavyo Muzungu na maisha yanaendelea, TZ yetu haijawahi hata tu kutajwa live na Waziri Muzungu live kwenye TV ukiondoa labda twira, hata tu CNN sikawahi kusikia.
Tuache uwoga, Sisi Sasa ni Middle Income Country hivyo ni kawaida kuwa na Maadui, tuache kujitetea, tujiamini, ...