‘Watanzania changamkieni biashara Sudani Kusini’

aCHA UONGO na ubishi.
ni ujima kuweka thread kutetea kitu bila kuweka Grobal accepted statistics.

Takwimu za WB zinaonyesha S/Sudan ni ya 186 wakati Tanzania ni ya 132.
Kuona mtu anauza maembe S/Sudan bei rahisi isikupe uharaka wa kuleta ubishi.
 
Good, kufanya biashara Juba ni good idea kuendana na aina ya biashara, capability ya mfanya biashara, experience maeneo hatarishi kama Juba etc

ila hata hapa Tanzania mtu unapiga pesa ukiwa makini regarding type of business me napiga pesa za kutosha daily na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity so inategemea.
 
Kikubwa unachotakiwa kufanya ni kukana uraia wa Tanzania ya magufuri na kuomba uraia wa sudani ili usiabike na maneno ya mtandaoni
 
How's the construction business in Juba?
 
Ni upuuzi kuandika South Sudan ipo vizuri kibiashara kuliko Tanzania. Wakenya wanakuja zaidi Tz kuliko wanavyoenda South Sudan. After all, hapa Tanzania kuna pesa nyingi zinazurura mitaani. Njoo tupige pesa huku.
 
Nenda. Nani kakuzuia.
Kaibe na kukwepa kodi huko. Wakikushika utaletwa na huji
 


"...na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity... "

Mkuu nadhani hapo ulimaanisha 'demand' is beyond your capacity. Not 'satisfaction'.

BTW... tupeane hiyo michongo mkuu.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…