Watanzania Democrasia imerejea, nimetokwa na chozi la furaha leo

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Your browser is not able to display this video.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuondolewa kwa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa zuio hilo lililodumu kwa miaka 6 baada ya kauli hii watanzania wazalendo tunasema Rais Samia Suluhu amekuja kuikomboa Tanzania zile 4R zinafanya kazi kweli kweli.

Watu wengi humu walikua wanataka Rais afungue mikutano hiyo hasa ndugu zetu CHADEMA tunaamini sasa mtafanya siasa safi kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza
 
NAWE TOA MIFANO YA SIASA SAFI NA SIASA MBOVU AMBAZO ZILIFANYIKA NYUMA!
 
NAWE TOA MIFANO YA SIASA SAFI NA SIASA MBOVU AMBAZO ZILIFANYIKA NYUMA!
Siasa safi ni ile ya kukosoa makosa ya serikali kama Rais Samia Suluhu alivyosema ukikosoa serikali inasikia na kufanyia kazi lakini siasa chafu ni hiyo ya kutukana bila maadaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…