Jameel2013
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 824
- 762
Acha ufala wewe nani NYANG'AU wewe unaweza kunifundisha kiswahili au mm ndio nikufundishe lugha ya kiswahili nyie watu mlio toka maporini mna taabu sn maan lugha fasah ya kiswahili chenyewe hamkifahamu.Tunakujua wewe ni nyang'au.
Hata Kiswahili chako kimekusaliti.
Bro, yaani kama ungekuwa na uwezo wa kuifanya Tanzania kuwa KAUINTI ya kenya nadhani ungeshafanya wallah... Humalizi mwezi bila kuitaja Tanzania in a VERY NEGATIVE WAY... utadhani nyie ni malaika huko mliko na maukabila yenu...Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.
Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.
Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.
Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.
Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.
Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya
University of Nairobi Ranked Top University in Kenya
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 13 in Africa by the new Webometrics Ranking.www.kenyans.co.ke
Bila kuitaja taja Tanzania mkono wake hauendi kinywani.Bro, yaani kama ungekuwa na uwezo wa kuifanya Tanzania kuwa KAUINTI ya kenya nadhani ungeshafanya wallah... Humalizi mwezi bila kuitaja Tanzania in a VERY NEGATIVE WAY... utadhani nyie ni malaika huko mliko na maukabila yenu...
Bro, yaani kama ungekuwa na uwezo wa kuifanya Tanzania kuwa KAUINTI ya kenya nadhani ungeshafanya wallah... Humalizi mwezi bila kuitaja Tanzania in a VERY NEGATIVE WAY... utadhani nyie ni malaika huko mliko na maukabila yenu...
Unataka tufukunyue nyuzi zako ndo uamini kuwa unakesha kujaza server kuichafua Tanzania..!!? Hujataja issue moja tu na hujaanza leo.... Nyie si mnasema na Kilimanjaro ipo kwenu, Mbwana Samata mkenya etc..!!Duh! Ningekua naitaja Tanzania kwa mabaya mbona server za watu zingejaa, yaani nikipitia majukwaa yenu yamerindima taarifa za kiajabu ajabu, humu huwa nataja issue moja moja tu ambayo inajadilika kwa Wakenya.
Unataka tufukunyue nyuzi zako ndo uamini kuwa unakesha kujaza server kuichafua Tanzania..!!? Hujataja issue moja tu na hujaanza leo.... Nyie si mnasema na Kilimanjaro ipo kwenu, Mbwana Samata mkenya etc..!!
Wao wametengeneza chanjo! Angalau wamejaribu.
Wewe je? nyang'au wa mombasa?
Dogo una chuki mbaya..na cjui kama unajitambua unakoelekea sio afya yaki mwenyewe. Unakua na concern na machapishi utadhani ndio reality ilivyo. Dogo nikufundishe kitu. Hizi research hazijawahi kuleta uhalisia kwenye maisha ya kawaida. Unajua kwanini kuna namba moja mbili tatu.... ? Hebu kaa chini ufikirie maisha yako na familia yako ukiondoka duniani kesho wataishije acha kuishi kijumla. Sawa tumewazid kwa elimi utajiri and blah blah blah...so what? How about you? Unakula kutokana na kuwazidi kwako? Icje ikawa sifa zote hizo wanaofaidi ni asilimia ndogo ya wakenya than majority tofaut na wao. Acha chuki na hasira utadhani wame kubakia dada yako. Maana utaumia peke yako. Kuna maisha baada ya hiz chuki. Maisha ni kitu kingine na haya machspisho ni kitu kingine kabisa. Au unadhani ukiends pale udsm hutafeli kisa unadhani elimu yao ni ndogo? Kuwa wise men
Sawa. Then? Hiv ukiambiwa uchague english nzur iliyonyooka kati ya kenya malawi zambia na zimbwabwe utaiweka kenya ya ngapi. Bila shaka ya mwisho. Sa jiulize kwani hizi nchi hazipayukipayuki kama ninyi wenzetu. Jibu moja tu. Bado mnatawaliwa kifkra. Kataa kubali lakni hilo ndilo jibu.
Ilikua zamani mazee...karibu tena sasa hivi ndo ujue english ni ishu ya kuamua tu wala sio upendeleo.
Mkuu mbona Tanzania hua haikutoki kwenye kinywa chako. Inaonakana waipenda sana na inaonekana watamani sana kua mtanzania ,Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.
Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.
Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.
Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.
Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.
Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya
University of Nairobi Ranked Top University in Kenya
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 13 in Africa by the new Webometrics Ranking.www.kenyans.co.ke
Na Nairobi university lazima pandemic gari Kadhaa hata haitoshi kwa shamba moja its spread alover Nairobi ingejengwa yote pamoja ingekua a small city in itself so its divided into schools kama medicine iko kando business kando and stuffUdom is the largest University in East & Central Africa. Kutoka point A hadi→ B, lazma upande gari.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu ata afadhali Sonko na baba yao mara kumi😂😂😂.Eti ndio rais