Watanzania hasa Vijana tujifunze uvumilivu huu wa Kimafanikio kutoka kwa Mtangazaji Hassan Ngoma

niki aache uongo,yani unaenda kusoma masters uk afu uchambue kinyesi gani huyo hassan alisomesgwa na shemeji yake uk na alikuwa akilelewa kama yai,hajagusa kinyesi hata,shemeji yake alikuwa RPC mara
 
Ila kua tajiri si lazima uchambue kinyesi,... Kuna fursa nyingi tu za utambuzi,
 
Hiyo kazi ya kuzoa kinyesi kwakweli siifahamu lakini kama ipo lazima kutakuwa na vitendea kazi kama Muuza Sumu anavyoita vifaa maalumu vijulikanavyo kama vya kuzolea kinyesi. Au labda alikua anachambisha vizee.
Hapo anamaanisha kuchambisha vikongwe...
 
Hata tajiri Le Mutuz alizoa takataka Ubelgiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…