Watanzania hatuitaji wenye akili nyingi kutukwamua

Watanzania hatuitaji wenye akili nyingi kutukwamua

Yasser5

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
207
Reaction score
17
Natafakari sana najiuliza watanzani tumelithishwa woga hata katika haki zetu za msingi tumebaki kuwa mabubu na wanyonge tnao lilia ndani kila mmoja ukimtizama ni kama anasubiri mwenzake a aanze naye afuatie maisha yamekuwa ghari watanznia kimya mafisadi wametukombaaa weeee watanznia holaaaa masikini kimya gizani kimya nani wa kuliokoa taifa hili jamani kondoo wake dhaifu na wamekondeana hivi
 
Hii sio sehemu yake.Your thread is good though
 
Back
Top Bottom