APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Habari zenu....
Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,tena yanatia aibu sana..
Kesho wanafunzi wanafungua shule,ila wazazi wao wameshindwa kufanya maandalizi siku nyingi ya kujianda na shule,leo hii ndo wanashituka sasa,yani unakutana na wazazi wapo na watoto wao kariakoo kama wamechanganyikiwa vile,kazi wanabadilisha maduka tu kutafuta uniform mpya na vifaa vingine vya shule.
Najiuliza hapa kama wangefanya maandalizi yao toka mwenzi wa 11 au 12 mwanzoni shida hii ingewapata wapi??.
Wanaofurahia upumbavu wa hao wazazi ni wamachinga,leo wanapiga pesa sana,nguo za shule hazishikiki kariakoo zimepanda bei sana.
Walijisahau sikuku wakala bata na beer leo hii wanakuja gundua walifanya ubwege.
Viatu veusi vya shule mwenzi wa 9 vilikuwa havina thamani kabisa hata 6000 unapata tena unabembelezwa ununue.
Leo hii sasa kwanzia 18000 mpaka 25000 tena ubembelezwi,kama wangejua toka mwanzo siwangenunua wavieke ndani??
Watanzania daima tutabaki kufanya mambo nnje ya mda,ndo maana unampa mtu ahadi ya kuonana saa 10 anakuja saa 11,yani hatuendi na mda kabisa.
Hapa najiuliza sijui tutakuwa wa mwisho kuchomwa moto??