Watanzania hatupendi kusoma vitabu. Kwa hiyo tunapenda kusomewa?

Watanzania hatupendi kusoma vitabu. Kwa hiyo tunapenda kusomewa?

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Kama kweli Watanzania hatupendi kusoma vitabu, ina maana tunapenda kusomewa. Je, ni kweli? Na sisi tunakubali tuwe tunasomewa?
Hakika, ndio maana tunapewa sana 'matango pori' na wale watu wanaotusomea. Kwa kweli, hii tabia sio nzuri. Jamani, na sisi tuanze kusoma ili tusile 'matango' pori kila siku.
 
Watakwambia kwamba inategemea hayo matango pori ni matamu ama machungu. Kama matamu, eti hamna noma.
 
Miaka ijayo idadi ya watanzania watakao kuwa wanasoma vitabu itaongezeka maradufu.
 
Back
Top Bottom