CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Tanzania ni vigumu kushindana duniani kwa biashara hizi rahisirahisi zinazo endeshwa na Watanzania.
Watanzania wengi hawapendi biashara za kuumiza kichwa wanataka biashara rahisirahisi na ambazo hata siku moja haziwezi kutufukisha popote.
Nitatoa mfano
1. Biashara ya Baa au grosary
2. Saluni
3. Daladala
4.Satationary
4. Duka la kuuza vitu rejareja na jumla
5. Biashara ya kuuza nafaka
6. Biashara ya kuuza magari
7. Biashara ya kuuza simu
8. Biashara ya kuuza nguo na viatu na vyombo mbalimbali
9. Hardware
- Kuuza chips
- Kuuza vipodozi
- Duka la dawa za binadamu
10. Nyumba za kupangisha na kazalika
HIZI NDO BIASHARA ZINAZO PENDWA NA WATANZANIA, NI NZURI SANA. BUT KWA HIZI BIASHARA HUWEZI SHINDANA KIMATAIFA HATA SIKU MOJA.
-HAMNA MWEKEZAJI KUTOKA NJE AMBAE ANAWEZA KUBALI KUJA MUINGIE UBIA WA KUFANYA BIASHARA NILIZO OROZESHA HAPO JUU.
-HIZO HAPO JUU NDO BIASHARA ZA WABONGO HAZIHITAJI AKILI, BIASHARA AMBAZO UNAANZISHA ASUBUHI JIONI UNAFAIDA TIYALI.
- ILA KIMATAIFA HATA TAASISI KAMA BENK YA DUNIA KWENYE KITENGO CHA MIKOPO HAWAWEZI HATA SIKU OJA KUKUPATIA MKOPO KWA BIASHARA HIZO HAPO JUU LABDA KIDOGO NYUMBA ZA KUPANGA MEANS REAL ESTATE.
-BIASHARA ZA KUHITAJI AKILI NYINGI
- BIASHARA ZA CONSULTANCY
- UWEKEZAJI KATIKA KILIMO
- UFUGAJI WA AINA ZOTE
- MAHOTELI NA MIGAHAWA
- UTARII
- UJENZI
- NISHATI YA JUA, UPEPO NA KAZALIKA
- VIWANDA VIDOGOVIDOGO NA VYA KATI
- MADINI
- TEKINOLOJIA YA MAWASILIANO, -SIMAANISHI KUUZA SIMU
HIZI BIASHARA ZINAHITAJI AKILI SANA NA NI BIASHARA AMBAZO ZINAWEZA KAMA ZIKIKUA KUSHINDANA KIMATAIFA, HIZI KUPATA WAWEKEZAJI WA KUINGIA NAO UBIA NI RAHISI SANA