Watanzania hawaeleweki, wanadai hawamtaki Rais, akiondoka wanatamani arudi

Uoga ndo ulimchanganya Magu Naweza kusema ndo Rais bora Magu baada ya Mkapa
Sidhani kama ni uoga, kadiri mambo yanavyo kwenda, kuna watu watakuja kutwambia ukweli tu. Magufuli alikua anapita kitahisi tu; ushahidi wa hili upo mwingi sana; ndio rais pekee baada ya Mkapa wananchi walikua wanakwenda kwenye mikutano yake bila kubebwa na malori ya mkaa; kila mkutano wake, watu nyomi kama ilivokua mikutano ya Chadema
 
Watanzania Akili zao ndogo hawajui wanataka nini.

Badala wanyooshe maelezo kuwa CCM imekufa na imechoka wao wanadili na MTU wanasahu pale CCM hata angekaa Obama nothing could change.
 
Sahihi kabisa; wana siasa wa vyama vyote including ccm wenyewe walikua hawampendi cause alibana posho zao nyingi and sound like awamu yake ya pili alitaka kukaza zaidi, sema ndio hivo tena, akaitwa mbele za HAKI. Binafsi naanza kuamini, watu wanaotumia sana akili huaga hawadumu muda mrefu
 
Hakuna raisi ambae atakubalika 100%, duniani kote, lakini katika historia ya hii nchi huyu ametokea kutokukubalika kuliko rais yeyote, toka uhuru wa hili taifa, na huo ndio ukweli...
Ukikutana na Mafufu usije ukaongea haya itakuwa zako ama zake !
 

ANANUKA ANANUKA
 

Attachments

  • Samia Tumechoka. Tanzania National Anthem Song of Revolution! No Reforms No Election..mp4
    18.2 MB
Labda wewe ndonumetamani
 
Kama bado wana deni naye lazima wamtake. Wewe unaweza kumuachia free mtu aondoke na deni lako ?
 
Hatujawahi Kumilia Mwinyi wala JK kurudi hata baada ya kumaliza muda wao. Na ni ndani ya muda mfupi sana max 6 months washasahaulika. Kuliliwa you must be very special na umefanya mambo very special sio petty issues
 
Ndio mvuto huo alikua nao
 
Kwa huyu labda machawa wamkumbuke
 
Watanzania hawajaamua Bado, hili litakuja kwenye uchaguzi Oktoba.
Hawa wengine wa mitandaoni ni madebe matupu hayaachi kuvuma, lakini octoba madebe yatajazwa maji na kelele zitaisha.
 
Watz wanafiki Sana, wapelekewe moto tu
 
AMINI USIAMINI SULUHU PEKEE YA MTANZANIA NI KUANZISHA CHAMA KIPYA CHA GEN Z WA BONGO OVA. ILA CCM. CHADEMA SIJUI CHAUMA. ACT. TUNATWANGA MAJI KWENYE KINU AISEEEEE AMINI NAWAAMBIA CHADEMA NA WENZAKE SIWAAMINI TENA.

LEMA ANAMPONDA POLEPOLE ILA LOWASA ALIFAA?

HAONI KAMA ANAWAPA KIKI CCM. ETI CCM WAMENYAMAZA YE ANAMSHAMBULIA POLEPOLE. TENA KWA BANDO LAKE MWENYEWE LISU KASAULIKA TAYARI. BRO HIYO ILIKUA GAME CHANGER ILIKUA NIKUSUKUMA MOTO MPAKA MWISHO WE TENA UNAPOZA.

MSIGWA ALITUMWA CHADEMA POLEPOLE KADAI HII INA MANISHA KUMBE HAO SI WAKUWA AMINI TENA WANATUCHEZEA AKILI .

kwishaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Huyu wa safari hii akiondoka, hata machawa wake hawatomkumbuka.
 
Hakuna raisi ambae atakubalika 100%, duniani kote, lakini katika historia ya hii nchi huyu ametokea kutokukubalika kuliko rais yeyote, toka uhuru wa hili taifa, na huo ndio ukweli...
Alieongoza kwa kutokukubalika ni Magu na ndiomana Mungu alisikia kilio cha watanzania na akaamua kuwasikiliza, na sizani kama Kuna ubishi kuwa yote yanayotokea Sasa muhasisi ni Mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…