Watanzania hawaeleweki, wanadai hawamtaki Rais, akiondoka wanatamani arudi

Kuna kitu kinaitwa approval rate ... kukubalika kwa raisi..... maraisi wote huwa na watu wanamchukia na wanaompenda ...

Sasa approval rate ya kupendwa lazima always kuanzia 51% kupanda juuu ikiwa chini ya hapi basi rais huyo hafai

Tukija magufuli alikuwa approval rate nzuri alikuwa na maadui n watu wanampenda wengi zaidi

Sasa huyu wa sasa sijui approval rate yake imekaaje nadhani itakuwa 50% or 49%
 
Alieongoza kwa kutokukubalika ni Magu na ndiomana Mungu alisikia kilio cha watanzania na akaamua kuwasikiliza, na sizani kama Kuna ubishi kuwa yote yanayotokea Sasa muhasisi ni Mwendazake.

Your browser is not able to display this video.

Hapana JPM alikuwa ana mapungufu yake lakini aliwagusa wananchi wa chini moja kwa moja... ukiangalia hio video ya mazishi yake utagundua mwamba alikubalika.. JPM at least alijua kula na kipofu..
 
Usiseme wanatumia akili sema wanaojitoa kwa ajili ya wanyonge hawadumu
 
View attachment 3413088
Hapana JPM alikuwa ana mapungufu yake lakini aliwagusa wananchi wa chini moja kwa moja... ukiangalia hio video ya mazishi yake utagundua mwamba alikubalika.. JPM at least alijua kula na kipofu..
Kwa kufananisha mfu na alie hai hiyo research yako ni wazi kuwa haina mantiki, mana hapo wengine wanataka kujiridhisha ni kweli amekufa huyu Dictator au watuzuga tu hawa!!?
 
Kwa kufananisha mfu na alie hai hiyo research yako ni wazi kuwa haina mantiki, mana hapo wengine wanataka kujiridhisha ni kweli amekufa huyu Dictator au watuzuga tu hawa!!?
katika nchi nyingi za Afrika, wananchi wa hali ya chini (maskini au wale wa kipato cha chini) huwa wanajali zaidi kingozi ambae atawakumbuka kutatua changamoto zao, hawajali kama anaminya demokrasia au lah... Kupata chakula cha kutosha kwa bei nafuu, miundombinu ya msingi kama maji, umeme, na barabara... n.k.... kwenye hili JPM aliweza..

Hivyo hata huo msiba wake waliguswa moja kwa moja... makamu wa raisi alishatangaza msiba wa kitaifa, hakuna mwananchi mjinga angefika msibani akidhani amedanganywa eti aende kuhakikisha.. hio hoja yako ni dhaifu sana.. ndio maana unaona hapo raia wanalia ina maana walimkubali..
 

Si angekubali uchaguzi huru na wa haki na kuheshimu matakwa yao? Au?
 
Na mpaka dakika hii hatujui rais tunayemtaka ni naniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwani wewe unataka huyu Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika na kuzigawa ovyo kwa wageni rasilimali zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…