Watanzania hawapendi elimu uzi wa mambo ya scholarships una likes 9 tu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nilianzisha uzi wa kupost fursa zote za Scholarships zinazojitokeza katika link hii:

Siajabu mpaka sasa uzi huu una likes 9 tu.

Watanzania wapenda elimu rudini mweke likes kwenye huo uzi hayo ndio malipo yangu.
 
"Ajira hakuna elimu ya nini?"
Alisikika kijana mmoja jobless akiwa chakali, bwii kutoka kwenye kisungura.
 
Humu wengi wana kazi zao zenye mishahara minono na marupurupu kibao na tena ni wafanyabiashara wakubwa
 
Tunataku kuongelea soka na kubeti
 
Vijana hawana tumaini, wamejawa hofu na maisha yao..... alisema CDF.
 
Na hatu huu wako nautabiria like zisizozidi 10 na commen 15
 
Nikiweka like japo sijapata scholarship
 
Hata Uzi huu una comment chache pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…