watanzania hawapo siriaz kwa hili

watanzania hawapo siriaz kwa hili

pleti namba

Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
91
Reaction score
32
Habar wakuu

Jana nimetizama taarifa ya habari huko babati shule ya awali wanafunzi wanafundishwa na mwalimu ambae hajawai soma darasa lolote… sasa haya ni maajabu

Pili shule ina uhaba wa vifaa vya kufundishia kama ubao na chaki hata madaftari wanafunzi hawana

Mmoja wa wanakijiji aliehojiwa anasema hao watoto wamesahaulika?!… sasa swali langu ni nani amewasahau? inamaana wazazi wameshindwa kujichanga kununua box la chaki-1500, kipande cha ubao, na kununulia watoto wao madaftari ya 200?!!! Kweli kwa hili tusubiri serikali na wadhamini??

Embu amkeni jamani tuache uvivu hata wa kufikiri cha ajabu hao wanakijiji ni wakulima na wafugaji
 
Back
Top Bottom