Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu
Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja atakayechukua, hata wateja wa spea hutawaona kwasababu watakapozinunua hazitakuwa na soko
Katika pitapita zangu nimekutana na watu wanauza gari bei rahisi sana lakini hakuna mteja hata mmoja anayesogelea
Kuliko wachukue afadhali pesa hizo wakanywee bia
Jamaa wa Brevis huyo anatupa kwa 2m hakuna hata anayesogelea