Kabisa. Nchi za wenzetu ukiwa na ajira ama biashara yeyote inayokuingizia kipato ni dhamana tosha ya kuweza kukufanya uwe na gari au nyumba kwa malipo ya installments.Tatizo ni pesa na hakuna mikopo ya pesa kwa credit card kulipia magari mazuri , just imagine mtu mwenye gari bongo anaonekana tajiri , tena ka gari ka hovyo tu🤔
Gari za kutumia mafuta mingi achia chawa ,mafisadi na mafisi,wewe tafuta ya viwango vyako hutajuta wala kuwa mtumwa wa gari yako.View attachment 3240822Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu
Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja atakayechukua, hata wateja wa spea hutawaona kwasababu watakapozinunua hazitakuwa na soko
Katika pitapita zangu nimekutana na watu wanauza gari bei rahisi sana lakini hakuna mteja hata mmoja anayesogelea
Tatizo pesa ya wese mkuu hilo ni shetani kwenye weseView attachment 3240822Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu
Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja atakayechukua, hata wateja wa spea hutawaona kwasababu watakapozinunua hazitakuwa na soko
Katika pitapita zangu nimekutana na watu wanauza gari bei rahisi sana lakini hakuna mteja hata mmoja anayesogelea
Wanawafananishaje ndugu,usije sema wanawapiga make up tu.Ila wanachukua wazee kuwafananisha na vijana.View attachment 3240830
Tuanze kwanza na la uraia pacha.Kabisa. Nchi za wenzetu ukiwa na ajira ama biashara yeyote inayokuingizia kipato ni dhamana tosha ya kuweza kukufanya uwe na gari au nyumba kwa malipo ya installments.
Bongo hatukosei kama wewe sio Fundi au hauzi spare, gari la chini ya million 6 na sio VITZ unatafuta Stress na Kifo cha mapema.View attachment 3240822Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu
Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja atakayechukua, hata wateja wa spea hutawaona kwasababu watakapozinunua hazitakuwa na soko
Katika pitapita zangu nimekutana na watu wanauza gari bei rahisi sana lakini hakuna mteja hata mmoja anayesogelea
Jamaa anatupa kwa 2m hakuna hata mteja anayesogeleaNaona mfalme wa Masafa marefu anauzwa sokoni Kwa bei ya kutupaaa.
Hiyo sio gari ya mjini kwenye foleni ndiyo maana wengi wenye hayo magari ni watu wa kusafiri kilasiku.
Hiyo chuma inatumia wishbones mbele na nyuma yaani kwenye mashimo inateleza ikiwa na speed 50 bila shida
DCP imeshakula chumvi ya kutosha bongo.. Ishu sio wese ishu ni ubora.. Ila aliyezichawia hizi gari Munngu anamuona😂View attachment 3240822Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu
Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja atakayechukua, hata wateja wa spea hutawaona kwasababu watakapozinunua hazitakuwa na soko
Katika pitapita zangu nimekutana na watu wanauza gari bei rahisi sana lakini hakuna mteja hata mmoja anayesogelea
Kuliko wachukue afadhali pesa hizo wakanywee bia
Jamaa wa Brevis huyo anatupa kwa 2m hakuna hata anayesogelea
Kwel kabsaKuna wateja wakishaingizwa mkenge kumpata mteja inabaki ndoto
View attachment 3240822Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu