Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje.
Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli