Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Matokeo ya aina ya elimu na kufimbia macho culture za umbeaMimi ni m Tanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa ki Tanzania hua ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje . Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
Kuna shida sana katk Taifa letu , huo ni ugonjwa unalisumbua TaifaMatokeo ya aina ya elimu na kufimbia macho culture za umbea
Inategemea na jambo lenyewe.Mimi ni m Tanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa ki Tanzania hua ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje . Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
Hoja hii haifungamani na itikadi za vyama . inagusa kote kote kwenye upotoshajiMbona nguvu nyingi zinatumika kuaminisha mambo kuwa ni ya uongo?Muwe mnashsuriana/kuonyana kabla hamjafanya madudu halafu yajulikane.Tazama mnavyopata tabu!
Sio watanzania wote wako hivyo,,,na inategemea huo uzushi ni wa aina gani, hii ni hulka ya binadamu wengi duniani.Mimi ni m Tanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa ki Tanzania hua ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje . Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
hoja hii haigemei upande wowote wa kisiasa ipo kukemea upotoshwaji na upotoshajiMbona nguvu nyingi zinatumika kuaminisha mambo kuwa ni ya uongo?Muwe mnashsuriana/kuonyana kabla hamjafanya madudu halafu yajulikane.Tazama mnavyopata tabu!
ila wa Tanzania wamezidiSio watanzania wote wako hivyo,,,na inategemea huo uzushi ni wa aina gani, hii ni hulka ya binadamu wengi duniani.
Hata hii habari Watanzania tusiotaka uzushi tutajuaje si uzushi?Mimi ni m Tanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa ki Tanzania hua ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje . Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
Hii changamoto kubwa sana, wanaamini chochote bila hata kuchanganua chanzo; hamnaga swali la "hivi hiyo taarifa umeitoa wapi na mimi nisome"Mimi ni m Tanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa ki Tanzania hua ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje . Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
umesema vyema . ila wa TZ tujitahidi kuwa watafiti wa mambo kuliko kupokea kila tunachoambiwaInategemea na jambo lenyewe.
Ukweli huwa una kawaida ya kujidhihirisha wenyewe waziwazi, na uongo huwa una kawaida ya kupigiwa promotion ili kuufanya uaminiwe na watu kuwa ni Ukweli
hhhhhh, kbsaaa wala hauajakoseaTabia ya watanzania utaijua kupitia vyombo vya habaru na mitandao ya jamii.
Angalia Mange abavyopiga pesa kupitia umbra, shigongi kapsta ubunge kwa kuanzisha magazeti ya umbeya, hizi fm redui asilimia kubwa ni habari za umbeya.
yaani sijui tuseme hawana elimu ? au iQ za wengi zipo chiniHii changamoto kubwa sana, wanaamini chochote bila hata kuchanganua chanzo; hamnaga swali la "hivi hiyo taarifa umeitoa wapi na mimi nisome"
Ukoandika na kuamini kitu hakiegemei popote ina maana hicho kitu hakipo na wala haukemei kitu.hoja hii haigemei upande wowote wa kisiasa ipo kukemea upotoshwaji na upotoshaji
Kwa sababu wengi hawana akili, hawawawezi ku reason wala ku research. Ni wapumbavu wamepumbazwa na Moshi wa mafusho ya Mwenge. Wanapelekwa tu mbiombio na hawajui wanakopelekwaMimi ni m Tanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa ki Tanzania hua ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje . Wanasiasa wanaocheza siasa za kihuni hua wanatumia mwanya huo kueneza nia zao za hovyo kulaghai uma wa watu kwa mambo yasiyo na ukweli
kabisa dada yangu , ni rahisi sana kucheza na akili za wabongoKwa sababu wengi hawana akili, hawawawezi ku reason wala ku research. Ni wapumbavu wamepumbazwa na Moshi wa mafusho ya Mwenge. Wanapelekwa tu mbiombio na hawajui wanakopelekwa
Punguza chuki na hasira za kisiasa , mimi nafikiri ulitaka nikosoe chama tawala ili niwe nimekufurahishaUkoandika na kuamini kitu hakiegemei popote ina maana hicho kitu hakipo na wala haukemei kitu.