Pole kwa kuondokewa na rafiki yakoMi nilienda mkuu godizilla alikua lafiki angu kitambo
Andola vizur sasa nakupa pole halafu unasem ENX maana yake nini sasa?
Hizo ni " tabia za kifo " usiwalaumu watanzaniaToka kuripotiwe kifo cha msanii godizila naona instagram,whatsapp status zimechafuka . yani watanzania sisi ni watu wa ajabu sanaa, week mbili nyuma kuna chombo cha habari kilirepot kwamba "msanii godizilla amekua mlevi wakupindukia" lakini hakuna alieshtushwa na hilo wala hakuna alie chukua hatua yeyote.... leo amefariki ndo sasa kila mtu anajua hilo.ama kweli nimeamini ule msemo wa "ishi ulaumiwe kufa usifiwe"
We umempost habari yake vipi Huko nyuma uliwahpost anyhabar kuhusu zila?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuandika enx huo ni umama
Ulitaka wafanyeje mkuu?
Kama mtu kawa mlevi kwa utashi wake mwenyewe, unawalaumu vipi watanzania?
Je, ni wote wanaokua walevi kupindukia wanastahili kuchukuliwa special au ni wasanii peke yao?
Usiwalaumu watanzania kwa matatizo binafsi ya mtu mmoja mmoja!
# Rest easy Godzilla the free style beast!
- KANA -
Na we we Andola maana yake ni nini?Andola vizur sasa nakupa pole halafu unasem ENX maana yake nini sasa?
Na wewe uache unafiki kupeleka kadi za mchango wa harusi kwa watu ambao haujuani nao wala hamjazoeana.Toka kuripotiwe kifo cha msanii godizila naona instagram,whatsapp status zimechafuka . yani watanzania sisi ni watu wa ajabu sanaa, week mbili nyuma kuna chombo cha habari kilirepot kwamba "msanii godizilla amekua mlevi wakupindukia" lakini hakuna alieshtushwa na hilo wala hakuna alie chukua hatua yeyote.... leo amefariki ndo sasa kila mtu anajua hilo.ama kweli nimeamini ule msemo wa "ishi ulaumiwe kufa usifiwe"