Watanzania iwe mvua au jua tupambane kudai katiba mpya, amani inadumishwa na mifumo huru - mfano Kenya

Wenzetu kenya wametuonesha umuhimu wa vyombo huru vya maamuzi- i

JK alisema siku ya Kupokea Rasimu ya Katiba Mpya toka Bunge Maalum la Katiba...."Mambo yote yana wakati wake"
 
Alishasema yeye "HAPANGIWI CHA KUFANYA" na kama sijakosea pia aliwahi kutamka kwamba katiba mpya "SIO KIPAUMBELE CHAKE" yeye anataka Tanzania ya viwanda tu.

Kwa muktadha huu nachelea kusema tutaendelea kupelekwa kibabe na tutaendelea kusomeshwa namba yumkini hadi awamu ijayo ya utawala.

Huwa najiuliza kimya~kimya ni kwa nini punde tu baada ya awamu hii kuchukua hatamu na madaraka ya nchi wakasema KATIBA MPYA SIO KIPAUMBELE?
 
[HASHTAG]#katiba[/HASHTAG] mpya Tanzania mpya
 
Uko sahihi 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ajenda yetu sio katiba,acheni tumimine viwanda kwanza,Kikwete aliwapa nafasi mkaichezea kwa kufunga plasta midomoni na kususa vikao.Hatuwezi kuchezea pesa kila mara tunajadili katiba
Tunaleta sheria ya matumizi ya ruzuku na ukomo wa uongozi kwenye vyama kwanza halafu mwaka 2050 tutaendelea na tulipoishia kwenye kura ya maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…