Nadhani tunahitaji kutafakari kidogo juu ya hili, hivi kama kuna mazuri yametendeka, watu wnahitaji kuambiwa? si waachiwe waone wenyewe? Ina maana hakuna matumizi mengine ya fedha zetu sisi walipa kodi? Jamani hebu jengeni hizo nyumba za walimu badala ya kwenda kueleza yaliyofanyika ambayo hayaonekani. Tukumbuke kwamba HAKI huwa haiombwi bali huchukuliwa!!