Watanzania kanunueni mifugo Kenya bei ni rahisi sana Mbuzi Ksh 100, Kondoo Ksh 100 na Ng'ombe Ksh 500

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Habari ndio Hiyo ndugu zangu Watanzania wale wenye mabucha na Madalali.

Kufuatia ukame mkali nchini Kenya Bei ya mifugo imeanguka kabisa kama bei zilizoripotiwa na Citizen tv hapo kwenye heading.

Ni hilo tu!
 
Woii,, uende Kenya kote mbali huko na hapa Tz inafikiaga mahali ukame ukizidi ng'ombe akilala haamki, hadi anaozea pale na unaeza uziwa hata Tsh.5000.

Nenda umasaini huko ujionee maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…