Hakuna ubaya kuagiza chochote kile ndiyo kujenga urafiki wa karibu na kuwa kama undugu ili mradi tu mfuko wako unakuruhusu kununua zawadi hizo ulizoagizwa iwe samaki wa Mwanza, Dagaa za Kigoma, Mchele wa Kyela, Korosho za Mtwara au raba mtoni za majuu.