Watanzania kuanzia leo jiandaeni kupewa moja kati ya sababu hizi zifuatazo kwanini 'Derby' haikupigwa Jumamosi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi )

2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki

3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika.

Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
 
Tunasubili
JamiiForums-885763074.jpg
 
Ila inasemekana ya kuwa Simba walipata taarifa za gemu kughairishwa mapema sana
 
1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama ( Ugaidi )

2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki

3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani ( kwa Mkapa ) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika.

Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
Iliyovuja hiyo ya kwanza hapo hii nchi ngumu sana
 
Ila inasemekana ya kuwa Simba walipata taarifa za gemu kughairishwa mapema sana
Kutoka wapi? Taarifa 24 hours before game, ilitakiwa kabla saa 11 jioni tarehe 7, iwe imetoka, watu wasingekwenda mapema.
 
Iliyovuja hiyo ya kwanza hapo hii nchi ngumu sana
Na hiyo #1 ndiyo Serikali inaweza Kujitetea nayo ili hata FIFA isiipige Rungu Tanzania.

Hata hivyo bado wakija nayo hiyo wenye Akili tuna Maswali yetu na wajiandae Kutujibu.

Swali... kwahiyo Magaidi walipanga Kulipua Saa 11 Jioni na Saa 1 Usiku wangeondoka au?

Swali...je, kukiwa na Tishio la Ugaidi Mechi inahairishwa kwa Masaa Mawili au hufutwa kabisa?

Swali....je, Serikali yenye Idara Imara ya Usalama inanusa hatari Siku ya Tukio au kabla?

Tena GENTAMYCINE nawaomba wasije na sababu hii kwani nitawadharau mno tu.

Serikali na TFF wakitaka niwaelewe waombe Radhi na Mechi ijayo ya 'Derby' Watu waingie bure.

Na nitawaelewa zaidi pale Waziri Bashungwa na Rais wa TFF Karia 'Wakijiuzuru' upesi sana.

Silaumu Yanga SC wala Simba SC hapa.
 
Simba ndiyo muasisi wa mechi kuahirishwa kisa ni kuogopa wachezaji wake kuumia na kukosa kucheza mechi yao na kaizer chiefs. Kutokana na umuhimu wa mechi na kaizer serikali iliwaelewa ikafanya mambo.
Taratibu Mkuu naanza Kukuelewa hapa.
 
Hapo leo umetumia uwezo wako kufikiri na kutoa hoja zenye mashiko, bila shaka leo mama chanja kakupa vya uvunguni
 
Simba ndiyo muasisi wa mechi kuahirishwa kisa ni kuogopa wachezaji wake kuumia na kukosa kucheza mechi yao na kaizer chiefs. Kutokana na umuhimu wa mechi na kaizer serikali iliwaelewa ikafanya mambo.
Kwenye kuwaumiza ni kweli Uto walipanga hivyo
 
Game ipelekwe mbele kwakua magaidi wangeshakamatwa kabla ya game! Gaidi angetaka kufanya yake SAA mbili asubuhi tu angevuna wakutosha tu pale uwanjani.
 
1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi )

2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki

3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika.

Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
Hatutaambiwa ila FIFA itaambiwa, ndo hapo tutajua hatma ya mzozo huu.
 
Back
Top Bottom