GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Iliyovuja hiyo ya kwanza hapo hii nchi ngumu sana1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama ( Ugaidi )
2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki
3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani ( kwa Mkapa ) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika.
Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
Kutoka wapi? Taarifa 24 hours before game, ilitakiwa kabla saa 11 jioni tarehe 7, iwe imetoka, watu wasingekwenda mapema.Ila inasemekana ya kuwa Simba walipata taarifa za gemu kughairishwa mapema sana
Watazunguka tu katika hizo hizo Mkuu.Khaaaa hamna hoja hata moja hapo
Si kweli ila Ushirikina umechangia 100%.Ila inasemekana ya kuwa Simba walipata taarifa za gemu kughairishwa mapema sana
Na hiyo #1 ndiyo Serikali inaweza Kujitetea nayo ili hata FIFA isiipige Rungu Tanzania.Iliyovuja hiyo ya kwanza hapo hii nchi ngumu sana
Taratibu Mkuu naanza Kukuelewa hapa.Simba ndiyo muasisi wa mechi kuahirishwa kisa ni kuogopa wachezaji wake kuumia na kukosa kucheza mechi yao na kaizer chiefs. Kutokana na umuhimu wa mechi na kaizer serikali iliwaelewa ikafanya mambo.
Hapo leo umetumia uwezo wako kufikiri na kutoa hoja zenye mashiko, bila shaka leo mama chanja kakupa vya uvunguniNa hiyo #1 ndiyo Serikali inaweza Kujitetea nayo ili hata FIFA isiipige Rungu Tanzania.
Hata hivyo bado wakija nayo hiyo wenye Akili tuna Maswali yetu na wajiandae Kutujibu.
Swali... kwahiyo Magaidi walipanga Kulipua Saa 11 Jioni na Saa 1 Usiku wangeondoka au?
Swali...je, kukiwa na Tishio la Ugaidi Mechi inahairishwa kwa Masaa Mawili au hufutwa kabisa?
Swali....je, Serikali yenye Idara Imara ya Usalama inanusa hatari Siku ya Tukio au kabla?
Tena GENTAMYCINE nawaomba wasije na sababu hii kwani nitawadharau mno tu.
Serikali na TFF wakitaka niwaelewe waombe Radhi na Mechi ijayo ya 'Derby' Watu waingie bure.
Na nitawaelewa zaidi pale Waziri Bashungwa na Rais wa TFF Karia 'Wakijiuzuru' upesi sana.
Silaumu Yanga SC wala Simba SC hapa.
Nimecheka kupita Maelezo hebu rudia.Hapo leo umetumia uwezo wako kufikiri na kutoa hoja zenye mashiko, bila shaka leo mama chanja kakupa vya uvunguni
Kwenye kuwaumiza ni kweli Uto walipanga hivyoSimba ndiyo muasisi wa mechi kuahirishwa kisa ni kuogopa wachezaji wake kuumia na kukosa kucheza mechi yao na kaizer chiefs. Kutokana na umuhimu wa mechi na kaizer serikali iliwaelewa ikafanya mambo.
Hata kama isiwe kweli lakini hapa kuna logic tusubiri tuoneSimba ndiyo muasisi wa mechi kuahirishwa kisa ni kuogopa wachezaji wake kuumia na kukosa kucheza mechi yao na kaizer chiefs. Kutokana na umuhimu wa mechi na kaizer serikali iliwaelewa ikafanya mambo.
Hatutaambiwa ila FIFA itaambiwa, ndo hapo tutajua hatma ya mzozo huu.1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi )
2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki
3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika.
Na Watanzania wote tutawaelewa tu.