Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Umesomeka kwamba usajili wa biashara umeongezeka sana nchini Rwanda na Kenya hasa kwa wawekezaji kutoka Tanzania na watalaam wa mambo wanaona kama ni kukimbia visasi vinavyo tolewa na serikali ya magufuli hasa pale inapotokea kutofautiana mitazamo au kuto unga mkono serikali yake.