Watanzania kuhamishia biashara zao Kenya na Rwanda

Uhamishaji umeanza siku nyingi sana kabla hata ya kuingia Magu...

Kodi, kutotii mikataba na uongozi na maamuzi yasiyotabirika ndiyo yanakimbiza watu...

Kagame anampotosha mwenzie huku kwake akifanya tofauti...

Magufuli arejeshe diplomacy kwenye utawala wake vinginevyo hali itakua mbaya sana.
 
Kenya Rwanda unasajili biashara online instantly, No ukiritimba.
 
ukwepe kulipa kodi, ukibanwa ulalamike. ...kaanzishe kwa Kagame na ukwepe kodi uone cha mtema kuni!
Wewe kula kulala hujui lolote!! Nenda Rwanda kajionee wafanya biashara wanavyojaliwa na serikali.

Ukimkamua ng'ombe mpe malisho mazuri ili astawi na kutoa maziwa... sio nyie mnakamua tu mpaka anatoa damu halafu hamumpi malisho!!
 
Naona drama ya ukuta imebuma umeona utoke kihivyo.
 
Source???
 
Ni bora wakahama tu wabaki wafanyabiashara wamaana siyo maizi.
 
Wewe kula kulala hujui lolote!! Nenda Rwanda kajionee wafanya biashara wanavyojaliwa na serikali.

Ukimkamua ng'ombe mpe malisho mazuri ili astawi na kutoa maziwa... sio nyie mnakamua tu mpaka anatoa damu halafu hamumpi malisho!!

Sasa si muhamie huko Rwanda/Kenya ni kwanini mnapiga kelele hapa?
 
Wewe kula kulala hujui lolote!! Nenda Rwanda kajionee wafanya biashara wanavyojaliwa na serikali.

Ukimkamua ng'ombe mpe malisho mazuri ili astawi na kutoa maziwa... sio nyie mnakamua tu mpaka anatoa damu halafu hamumpi malisho!!

You have explained first why the price in Rwanda shops is high for nothing
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aiseee acha nifurahi mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…