Watanzania kulalamika maisha magumu

Watanzania kulalamika maisha magumu

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,268
Reaction score
1,143
Habari wakuu.

Naimani tumeamka salama na kila mmoja yupo kwenye majukumu yake.

Kama kichwa kinavyojieleza. Watanzania wengi haswa walikua wamezoea utafutaji kwa njia ya janja janja wamekua wakiilaumu serikali kuwa maisha magumu.

Wazee nawashauri tu kama mta panic ni dalili kuwa mmenielewa. "PUNGUZENI MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA KWA SASA"

Mfano: Matumizi ya Magari wengi mnapoteza pesa kwenye mafuta, service nk tumia gari yako panapokua na ulazima. Punguzeni idadi ya Bia au Bata tumia hata bia zako 3 nenda kapumzike, out piga moja kwa mwezi

Nawasilisha! Kama unajua utapanic usisogee kwenye huu uzi tafadhali. Mambo ya siasa usilete hapa peleka jukwaa husika.

Comment ziwe fupi fupi
 
Hali ngumu mitaani kila kitu bei juu kilicho nafuu ni mihogo ya kukaanga.
 
Sawa Mkuu tupambane tusikate tamaa as long uzima upo ndio jambo la msingi
 
hahaha mbona kama mzee umekasirika nisamehe mana Mimi sikujui na wala siwezi leta chuki kwako mtu ambaye sikujui na wala sikufahamu. Huenda kesho ukanisaidia wewe wewe . Endelea na comment fupi fupi bro
Amekasirika nani? Me nashangaa bibi km ww unaleta habar za kichokochoko wakat watu wanaumia? Ndo mana naona ww utakuwa ushapata bwana sa izi amekuachia geto unampikia chai bwana wako, ndo mana unaona wote wanalalamika ww si umeyapatia!
 
Usiwe na wenge hivyo mzee .maisha ni haya haya kama ipo siku Mungu atakufungulia njia asira na matusi hazisaidii wala haziongezi chochote kwenye maisha yako binafsi. Twende na comment ndefu ndefu sasa
 
sichangii chochote, nasubiri povu kwenda kwa OP kutoka kwa wapiga dili
 
Usiwe na wenge hivyo mzee .maisha ni haya haya kama ipo siku Mungu atakufungulia njia asira na matusi hazisaidii wala haziongezi chochote kwenye maisha yako binafsi. Twende na comment ndefu ndefu sasa
Ziwe ndef au fupi me nnachojua ni kwamba ww utakuwa unafugwa na janadume moja hivii, limekupak getto unapika mchuzi
 
Habari wakuu.

Naimani tumeamka salama na kila mmoja yupo kwenye majukumu yake.

Kama kichwa kinavyojieleza. Watanzania wengi haswa walikua wamezoea utafutaji kwa njia ya janja janja wamekua wakiilaumu serikali kuwa maisha magumu.

Wazee nawashauri tu kama mta panic ni dalili kuwa mmenielewa. "PUNGUZENI MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA KWA SASA"

Mfano: Matumizi ya Magari wengi mnapoteza pesa kwenye mafuta, service nk tumia gari yako panapokua na ulazima. Punguzeni idadi ya Bia au Bata tumia hata bia zako 3 nenda kapumzike, out piga moja kwa mwezi

Nawasilisha! Kama unajua utapanic usisogee kwenye huu uzi tafadhali. Mambo ya siasa usilete hapa peleka jukwaa husika.

Comment ziwe fupi fupi
Ushauri mzuri ni vigumu kuupata, na ukiupaa ni vigumu kuuzingatia.
 
Back
Top Bottom