Watanzania Kunyongwa Iran?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790




Kumbukeni habari hii hapa.




Inawezekana kuna Watanzania watanyongwa huko Iran jumapili hii; je baada ya kunyongwa miili yao itasafirishwa kurudishwa kwa ndugu zao Tanzania? Kama ni hivyo, je ni nani atakayegharimia usafirishaji?
 
Vijana wa bongo tuache mambo ya kibongobongo tunaposafiri nchi za watu,kuna watu ktk nchi zao hawajui longolongo.Ni kweli maisha yamebana sana,lakini unapoamua kwenda nje ya nchi kubangaiza basi fuata sheria/miiko/tamaduni za wenyeji wako ili angalau uwe salama.

Wabongo tutageuza matumbo yetu mabegi mpaka lini?
 
Ndio ajira milioni 1 za Kikwete......
 
Kuna uwezekano mkubwa hao waliokamatwa ni watu wenye pasipoti za Tanzania na sio watanzania. Siku hizi Pasipoti yetu imekuwa kama njugu, inatolewa tu ovyo kwa hiyo hata wanigeria wanaweza kuipata na kudamge reputation yetu, lakini vilevile sikatai kuwa kuna mules kutoka tanzania wanaotumiwa. For sure walijua risk .hiyo kwa hiyo waliowatuma ndio watakaogharamia kurudisha miili yao, wao ni matajiri sio masikini they can afford. Na majina yao yako kwa rais kwa hiyo ni lazima walipe serikali isilipe
 
Sasa wewe ulitaka wafanywe nini wakati sheria za kule zinasema wanyongwe? wanatakiwa kuface the fact kwasababu kufanya tu hivyo wao wenyewe walikuwa wanajitoa muhanga kwamba lolote litakalotokea wako tayari, limeshatokea la kunyongwa, wao walikuwa tayari kwa hili kama wakikamatwa ndo maana walijilipua hivyo, sasa wewe unahangaika nini, au unafikiri utafanya nini ili warudi hai? wengine si ndo wale wa Mauritius ambao watapata kifungo cha maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…