Mlimani TV
Member
- Oct 13, 2014
- 12
- 12
Wizara ya elimu,ofisi ya waziri mkuu tamisemim,tantred pamoja na global eductaion link ltd ,watawakusanya watoa huduma za elimu zote nchini katika eneo moja la viwanja vya mwalimu nyerere maarufu kama sabasaba,kuanzi desemba 10 hadi 15 lengo ni kuanzisha mfumo maalum wa maonesho ambapo wananchi wote watapata taarifa sahihi za elimu kwa pamoja pasipo kusafiri mikoani,wadau wa elimu zaidi ya 500 kukusanyika pamoja,wananchi wote watapata fusra ya kutembelea maonesho hayo bure,mlimani tv kama kauli mbiu yake ya elimu kwanza itakuwa ikikuletea taarifa muhimu wadau mnakaribishwa.