Watanzania kupata taarifa za elimu kuanzia msingi hadi chuo kikuu katika maonesho dec 10 hadi 14

Mlimani TV

Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
12
Reaction score
12
Wizara ya elimu,ofisi ya waziri mkuu tamisemim,tantred pamoja na global eductaion link ltd ,watawakusanya watoa huduma za elimu zote nchini katika eneo moja la viwanja vya mwalimu nyerere maarufu kama sabasaba,kuanzi desemba 10 hadi 15 lengo ni kuanzisha mfumo maalum wa maonesho ambapo wananchi wote watapata taarifa sahihi za elimu kwa pamoja pasipo kusafiri mikoani,wadau wa elimu zaidi ya 500 kukusanyika pamoja,wananchi wote watapata fusra ya kutembelea maonesho hayo bure,mlimani tv kama kauli mbiu yake ya elimu kwanza itakuwa ikikuletea taarifa muhimu wadau mnakaribishwa.
 
Taasisi za elimu,vyuo vikuu na shule zaidi ya 500 kutoka ndani na nje ya nchi zitakuwa katika viwanja vya mwalimu Nyerere maarufu sabasaba, katika maonesho ya elimu ya kimataifa ya kwanza Tanzania,ambapo bodi ya mikopo, TCU, wizara ya elimu watakuwa katika viwanja hivyo kuanzia Desemba 10 hadi 15, kwa mara ya kwanza wananchi watapata huduma muhimu ikiwemo udahili katika shule na vyuo hapohapo(maonesho haya yameratibiwa na ofisi ya waziri mkuu tamisemi, wizara ya elimu, tantred pamoja na wakala wa vyuo vya nje globale eductaion link) kiingilio itakuwa bure ilikuwawezesha watanzania kupata sehemu moja ambayo anaweza kupata taarifa zote za elimu kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu.
 
mie sijaelewa!Hii itasaidiaje kuboresha elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…