Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Jarida la Forbes ni jarida maarufu zaidi duniani kufuatilia watu mashuhuri hasa matajiri au vijana wanaotegemewa kuwa mashuhuri au wenye ushawashi mkubwa sana siku za mbeleni.
Kwa nini Watanzania wengi vijana wanaotajwa katika hili jarida huwa wanapotea katika ramani au wanabaki wa kawaida tu?
Mfano
Patrick Ngowi- Mjasiriamali wa solar
Jokate- Urembo
Idris Sultan- Msanii
Isaya Yunge- Dijitali
Manji- Alifilisika
Mo-kashindwa kulipa bilioni20 Simba.
Wapo vijana wengine wengi Watanzania waliowahi kutajwa katika hili jarida ila sasa hivi ni wa kawaida tu huko mtaani.