ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
Awamu hii ukiwa mnafiki ndio mzalendo hodariMuwe wazalendo basi. Au mmetumwa na mabeberu? Hii ni vita ya kiuchumi. Bro Magu chapa kazi. Usisikilize kelele za chura. Hongera sana kwa kulijengea taifa heshima
Unabwabwaja tu bila kuwa na hoja. Hivyo ulivyopoyoyo nchi zinazojifungia ndani na kutangaza idadi kubwa ya maambukizi ndiyo wakifikwa na misiba viongozi wa nchi nyingine watakwenda?
Yaani waogope kuja Tz kwa kuhofia Corona kwakuwa hatuchukui hatua madhubuti kwa maoni yako, halafu waende Kenya wanaotangaza maambukizi ya watu 1000 kila baada ya masaa 24? Na takwimu hizo za kutisha watakwenda tu kwakuwa wao wanatangaza?
Hizi bangi unazotumia hebu badilisha
Wewe kilaza hangaika na maisha yako.Watanzania bila kuondokana na hili jiwe linalotufanya tujikwae hatuendi popote. Mtu huyu hana upeo inajulikana wazi ndio maana anaishia hapa hapa hawezi hata kufanya diplomasia na mlevi Uhuru atawezaje na wengine wa Ulaya, Asia, etc
Uzi huu umejikita kwenye yaliyotufikisha hapa tulipo. Yote ya msiba wa mzee Mkapa hayo ni moja tu. Imeelezwa wazi kuwa:
"Mifano iko mingi mno na katika nyanja nyingi."
Huna nia ya majadiliano ya kiutu uzima yenye tija na yenye kujikita kwenye hoja. Hoja hushindanishwa kwa hoja, kwenye jamii iliyostaarabika lakini.
Kama mapoyoyo wenzio wote na njaa zenu mliojipambanua hivyo, mmoja mmoja kwa wakati wake, mtakuwa si sehemu ya majadiliano ya msingi yenye kuhusisha waungwana.
Message sent and delivered.
Bye bye amigo don't even mind to write back.
Zambia, drc, Malawi, msumbiji uganda, Rwanda wanatuchukia kwa lipi?Mhhh! Muhimu kuzikwa tu?
Kuchukiwa na wote ni changamoto nzuri? Mfano ya achukiwaye na wote ni shetani peke yake.
Gandua mawazo yako. Acha kujidanganya.
IndeedNonsense
Zambia, drc, Malawi, msumbiji uganda, Rwanda wanatuchukia kwa lipi?
Naomba unidadavulie mkuu
Nimeshajibu hoja zote. Umebaki na lawama , sina cha kukusaidia1. Vyema umetambua kuwa kuna kususiwa na nchi zingine. Tambua pia kuwa hata kama na wewe ulimsusia mzee Mkapa, wengine hatukumsusia.
Tulikuwapo Uhuru, JKNIA na wengine hata Lupaso kwa dhati kabisa, achilia mbali ambao hawakuweza kuingia pale Uhuru.
Wewe ulikuwa pande ipi katika sehemu hizo 3?
Hiyo ndiyo Tanzania tunayoijua, tunayoitaka, tutakayoidai na kuipigania siku zote. Hiyo ndiyoTanzania ya Nyerere (rip), Mwinyi, Mkapa (rip) na Kikwette ambayo kila mpenda amani, haki, kweli, ustawi nk, kokote aliko anaitamani. Tanzania inayothamini watu, utu, uhuru na maisha yao. Tanzania ambayo ilikuwa inapewa uzito wake iliostahili kote duniani.
Tanzania iliyokuwa inatambua binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Tanzania iliyokuwa na tofauti za wazi na ushetani.
2. Usilinganishe Tanzania na Israel kana kwamba Israel inakubaliana na ushetani na mkururo wa hayo yaliyotufikisha hapa.
Fahamuni kuwa hatudanganyiki na wala hamtatunyamazisha. Ukweli mnaujua ila mnajifanya hamnazo.
View attachment 1526083
Ushahidi wa kuwa kuna chuki au hasira uko wapi?
Hamtatutoa kwenye hoja za wazi hizi ambazo kila mtu mkiwamo nanyi wameza OmO mnaziona. Wala hatutakubali kuwa sehemu ya kujidanganya.
Nimeshajibu hoja zote. Umebaki na lawama , sina cha kukusaidia
Ukiwa na hoja nyingine utaleta , siwezi rudia majibu , haya sio matangazo ya kifo , ulivyokuwa mtoto una hoji mimi nilikuwa wapi? hilo swali anapaswa anihoji mke wanguWapi umeombwa msaada?
Haya ulijibu?
Umejibu katika pande zile tatu JKNIA, uhuru na Lupaso. Wewe uliweza kufika wapi?
Ushahidi wa chuki na hasira uko wapi?
Hapana lawama popote bali plainly narrated facts.
Ukiwa na hoja nyingine utaleta , siwezi rudia majibu , haya sio matangazo ya kifo , ulivyokuwa mtoto una hoji mimi nilikuwa wapi? hilo swali anapaswa anihoji mke wangu
Kama unaweza kiswahili andika kiswahili , kama unaweza kiingereza andika kiingereza , usichanganye lugha huo ni upuuzi mwengine ulionaoMajibu na maswali yako ni ya kitoto kuliko maelezo.
Nikuulize maswali ya mkeo?
Poyoyo la kutupwa wee!
Bye bye amigo don't even mind to write back.
Prof. Lumumba alisifia sana sijui kwa sasa ana maoni gani.Mkuu hiyo ni point of addition (badala ya correction) zaidi sana ya kuwepo tu. Tulikuwapo tukapewa na heshima zaidi kutoa speech.
Hata kwenye msiba wa rais Moi (rip) zaidi sana ya kuwapo, tulipewa pia heshima kama hiyo ya kutoa speech.
Hii ni kama ilivyokuwa kwa Madeline Albright mwakilishi wa beberu kwenye msiba wa mwalimu (rip).
Prof. Lumumba alisifia sana sijui kwa sasa ana maoni gani.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app