Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia

Mhhh! Muhimu kuzikwa tu?

Kuchukiwa na wote ni changamoto nzuri? Mfano ya achukiwaye na wote ni shetani peke yake.

Gandua mawazo yako. Acha kujidanganya.
Wapo wanaompenda shetani
 
Utawaokota nyumbu kwa hoja yako. Hakuna Rais yeyote duniani aliyetoka nchini mwake tangu kipindi cha Corona. Na ninyi nyumbu mnadai kila siku Tanzania kuna Corona. Wangekujaje?
 
Copy n paste hotuba ya bwana fulani. Watu hata sense kidogo ya kujua kipindi tulichonacho kikoje, wanahoji kutokuja kwa watu msibani. Eti tumekimbiwa na marafiki woote.
Attorney’s rubbish
 
Mada inajieleza. Kutoa povu kwa kuwa OmO imemezwa ni sehemu ya mchezo.

Toeni povu sana. Message sent na imefika.

Kujidanganya hakutakaa kutusaidie.

Mchana ni mchana haijalishi wajinga wangapi wangependa iwe ni usiku.
 
Uzi huu wa August 3, 2020 ungali hai unaishi baina yetu.

Nini tufanye leo jana au kesho kwa hekima yako vyote vinafahamika.

Eeh mola wetu tunaomba uturehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…