mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Tumekuwa na matatizo haya kwenye mambo mengi sana sijajua ni tabia za kikoloni au la lakini ni lazima tujue kuwa mpira sio mchezo wa miujiza sana
Mpaka Senegal wamekuwa hivi walitumia miaka zaidi ya ishirini kutengeneza timu yao, sisi hatujui hilo tunawaza miujiza tu.
Tunazania kama Senegal kuwafunga France kipindi kile ulikuwa miujiza, hapana wenzetu walitengeneza timu yao
Tuache kuzani mpira ni miujiza watanzania tutengeneze timu, miujiza itakuja baada ya hapo. Yani tunaenda tofauti hata na vitabu vya dini.
Kwangu hakuna hata mchezaji moja mwenye uwezo wakucheza mpira kusaidia timu yetu kwa sasa.
Lazima tujue uzoefu wetu upo vipi katika mechi kubwa kama hizi, Yani tunawapa lawama wachezaji wetu kwa kutaka kufikia matumaini yetu timu ni mbovu lazima tulijue hilo.
Yani tumekaa tukimuomba Mungu awe shabiki wetu tukifikiri wasenegal hawamjui Mungu au.
Tuache tabia za ajabu.
Wenzetu wamejianda kupambana na pia hata kisaikolojia wapo vizuri kama itaitajika.