Katika kuzid kuitangaza Tanzania katika Africa na Dunia kwa ujumla Diamonds Platnumz ameingia kwenye categories mbili za MTV Africa Music awards pamoja na mtanzania mwingine ambaye ni Anisa Mpungwe ambaye yupo kwenye category moja. Tukiwa kama Watanzania tuwasupport kwa kuwapigia kura.
source: mtvbase.com