Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Asante mkuu lakini hii dunia ninayojulikana ni ya JF.Upande wangu ni Sky Eclat
uchi uchi mweleze akueleweNimemuuliza mtu pembeni hapa nani Buji Buji akajibu uji uji? Nikarudia mara kama tatu Buji Buji naona hanielewi kabisa
Wacha mambo ya TRA. TRA Gari iko written off miaka kumi nyuma, wao wanasema hii Gari inaonekana sana kwenye system zetuNamba 1 ni NYERERE
Kwa uchi sawauchi uchi mweleze akuelewe
Nimecheka sanaHance Mtanashati
Nimemuuliza mtu pembeni hapa nani Buji Buji akajibu uji uji? Nikarudia mara kama tatu Buji Buji naona hanielewi kabisa