Angalau ww nimekuelewa
{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
Wejamaa lazima utakua umezikalia akili hapo kwenye tako zako hebu amka, muokota makopo yeye lazima atembee kwa miguu ili aweza pata hayo makopo ambayo kwa kawaida huzagaa mtaani. Sasa ulitaka apande Bus za mwendo kasi aende wapi?? Wee jinga sana kumbe eeeh!!! Kumbe hata huko 254 yapo majitu hamnazo majinga jinga tu.Sio kweli kwamba Tsh.1300 ni coins za mkazi yeyote wa dar kwenye begi lake. Kuna watu wengi Dar wanatoa jasho kweli kweli kupata hio 1300 mfano waokota makopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wejamaa lazima utakua umezikalia akili hapo kwenye tako zako hebu amka, muokota makopo yeye lazima atembee kwa miguu ili aweza pata hayo makopo ambayo kwa kawaida huzagaa mtaani. Sasa ulitaka apande Bus za mwendo kasi aende wapi?? Wee jinga sana kumbe eeeh!!! Kumbe hata huko 254 yapo majitu hamnazo majinga jinga tu.Sio kweli kwamba Tsh.1300 ni coins za mkazi yeyote wa dar kwenye begi lake. Kuna watu wengi Dar wanatoa jasho kweli kweli kupata hio 1300 mfano waokota makopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza wewe ndiye mjinga. Cha pili wewe ndiye umekalia akili zako kwenye tako. Cha tatu una akili kidogo. Cha nne uelewa wako mdogo sana. Kama una hoja unaweza kuwasilisha kwa lugha ya staha. Nilisema hivi sio kila mkazi wa Dar ambaye sh. 1300 anazipata kiurahisi kama ilivyosemekana. Najua kama unavyojua muokota makopo lazima atembee.Wejamaa lazima utakua umezikalia akili hapo kwenye tako zako hebu amka, muokota makopo yeye lazima atembee kwa miguu ili aweza pata hayo makopo ambayo kwa kawaida huzagaa mtaani. Sasa ulitaka apande Bus za mwendo kasi aende wapi?? Wee jinga sana kumbe eeeh!!! Kumbe hata huko 254 yapo majitu hamnazo majinga jinga tu.
Sasa mwandishi atasemaje juu ya mungiki wanao ongeza nauli zaidi ya mara dufu kukiwa na dalili ya mvua uko Nairobi π
Ukisoma vizuri, utapata asilimia zaidi ya 60% ya watu Nairobi hutembea kwa sababu hawawezi kulipa nauli ghali.
Public Transport Fare in Nairobi| How much?
Asilimia 70% ya Watanzania ni maskini wanaoishi chini ya Tshs 4,400 kwa siku, halafu nauli ya haya mabasi yaani kwenda mjni na kurudi kitaa inagharimu Tsh 1,300 hivyo hiyo ni asilimia 30% ya kipato cha Mtanzania wa kawaida ambao ndio wengi hao 70%.
Wengi wameishia kuyaona yakipita tu lakini hawawezi kuthubutu kuyakaribia, kazi kuyapiga mapicha na kupost humu huku wakiwa wameketi kwenye daladala za kawaida.
Wabongo wasipokua makini hii ndio itakua taswira hata kwa SGR, kama watatumia gharama na nguvu nyingi kuirembesha kwa ajili ya kupiga mapicha kuliko unafuu wa huduma. Ni muhimu kuwakumbuka Watanzania 70% ambao hawawezi kukidhi haya mambo.
---------------------------------
Despite investments of $150 million for the first phase of BRT, the poor are still stuck in traffic on cheaper buses every day. By contrast, those who are wealthy enough to afford the higher fare have the option of cutting travelling time by two hours a day.
Roughly 70 per cent of Tanzanians live on less than Sh4,400 a day (less than $2). Yet a two-way commute along the main branch of the BRT would cost Sh1,300 β thatβs a staggering 30 per cent of poor peopleβs daily income being spent on transport.
By comparison, the same commute by daladala would have cost Sh800
Whatβs more, the lack of jobs is a major problem in Dar es Salaam, as in many other metropolises in developing countries.
Since BRT buses can carry more passengers than minibuses, about 10 daladalas will be displaced by each BRT bus.
This will have devastating consequences for the 20,000 to 30,000 people employed in public transport.
Why BRT system excludes the poor
Stedi huwa zimejazana watu kila saa kama mchwa..yani kusema hawa watu wote wapo vizuri kifedha..
Sasa wewe unasemanga wewe ni Mkenya, leo umejitambilisha kirasmi kama mdanganyika
ππ Watu million 5 wapo katika mji ambao ni mkubwa mara tatu ya Nairobi wakati watu zaidi ya million 2 wanaishi Kibera kitongoji kidogo Nairobi, Tanzania ina zaidi ya watu million 58 lakini ni watu million 4.5 tu ndio wanaishi Dar, Kenya ina watu million 47 lakini zaidi ya Wakenya million 5 wanaishi Nairobi ndogo mara zaidi ya Dar. HongereniFuta hizo kauli, hakuna mtu hupenda kutoka kijijini kuja kuhangaika mjini hapo, kwanza kwa joto la Dar na harufu ukizingatia wengi wenu maskini mnaoishi mitaani hamuna viyoyozi au fan, ni mwendo wa kuvumilia joto na mijasho. Tatizo ni kwamba kijijini hakukaliki, umaskini umekolea kule, ardhi mnayo kubwa ila kama Waafrika wengine, bado mnatumia mbinu zilizopitwa na wakati za kulima kwa jembe.
Hivyo inawabidi mkusanyike Dar, ambapo mara ya mwisho nilisoma sehemu mumejazana watu milioni tano.
Stop. Lies ,round trip ni TSh 1300 mkenya yupo sahihiHalafu round trip fair ni Tsh.600 sijui hiyo Tsh.1300 ulipoitoa
Is it? Speak for yourself. Daily tsh 1400 transport cost is pretty stiff for majority dar residents.TSH 1400 is the petty money in Tanzania @
Sasa mwandishi atasemaje juu ya mungiki wanao ongeza nauli zaidi ya mara dufu kukiwa na dalili ya mvua uko Nairobi π
Ukisoma vizuri, utapata asilimia zaidi ya 60% ya watu Nairobi hutembea kwa sababu hawawezi kulipa nauli ghali.
Public Transport Fare in Nairobi| How much?
Wewe MK254 Major route Za mwendokasi hazina mbadala mfano,mkazi wa Kimara mwisho kama anataka kwenda CBD lazima apande mwendokasi tu hakuna mbadala,wenye option nyingine ni wale wanaokaa sehemu ambapo mradi haupo.
Pili wakazi wengi wa Dar wanakipato kikubwa kuliko maeneo mengine ya Tz kutokana na mzunguko mkubwa wa pesa jijini.
Mimi kabla sijahama Dar Nilikua nmeajiriwa nalipwa kwa mwezi Tsh 1M ni pesa ndogo tu lakini kuna wenye magenge yakuuza veges na zagazaga ndogo ndogo kwa siku hakosi tshs 50elfu faida ukimuona mchafu utamdharau lakin anapesa kuliko vijana wengi wale wa ofisini .Ni uongo uliotukuka mkaazi wa jijin akose 1300 ya nauli kwa siku wakati mtu uyo ananunua maji anakula mgahawani na bado ataweka vocha na bado nyumbani kwake ataacha pesa ya matumizi
Sent using Jamii Forums mobile app