Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana.

Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo.

Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari.

Wengi wapo kupigana na wewe.
 
Anamaanisha matajiri wa kitanzania hawapo tayari kutoa pesa wanunue wazo la kibiashara kwa mtu hili huyo mtu apate pesa na wazo walichukue hilo wao.

sio nia yangu uelewee haya maelezo kwani mimi na chizcom ni ndugu wa mama na baba mmoja tumechizika kweli,

Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake.
 
Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana.

Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo.

Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari.

Wengi wapo kupigana na wewe.
Unafahamu nini kuhusu mfumo unaotawala nguvu ya soko?
 
Back
Top Bottom