Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

True wakafilie mbali walahi
Mijitu mikatili, unapita Lagos unakutana na maiti imelala barabarani na hamna anayeshtuka walahi
Hawana heshima na uhai wa binadamu walahi
 
Heshima ni kitu ya maana sana. Mwafrika hastahili kumwonesha mwafrika mwenzake madharau kiasi hicho, halafu mzungu akija huko kwenu mnamkumbatia kwa mikono miwili. Hawa si matapeli na kama hujatazama video, unacomment ya nini?
She can go treat poor kids elsewhere, Who doest know how these NGO Types profit from making documentaries and using the poor to solicit for donor money.
Let her camp at kibera or mukuru kwa jenga slums. JPM needs aliko dangote types not pretenders
 
True wakafilie mbali walahi
Mijitu mikatili, unapita Lagos unakutana na maiti imelala barabarani na hamna anayeshtuka walahi
Hawana heshima na uhai wa binadamu walahi
 
She can go treat poor kids elsewhere, Who doest know how these NGO Types profit from making documentaries and using the poor to solicit for donor money.
Let her camp at kibera or mukuru kwa jenga slums. JPM needs aliko dangote types not pretenders
Fact!
 
Makunya si kundi la mazezeta tu walahi
 
Umeongea ukweli mtupu
 
THERE MUST BE A REASON.
Tanzanians are very friendly and respectful people in
the world, maybe they are the problem, ask them. We can charm foreigners but we never entertain bullshit from foreigners or foreigners with bad intentions.
We can love or hate each other but when it come to protect our country against evil foreigners we together unite and save our Tanzania.

If we don't want you, you're the problem.
 
Hebu tupia hako ka-clip tukaone then tujue jinsi ya kukuokotesha hapa
 
Hehehehe shida kubwa hapo ni lugha gongana, Watanzania kawaida yao hupandwa na jazba pale wameshindwa kujieleza kwa kingereza. Sasa hapo utakuta maafisa wa uhamiaji walipo ona ni Wanaijeria halafu kwamba watalazimika kuwarudisha kwao na jinsi Wanaijeria hupiga makelele ya kingereza, ikawa ni mwendo wa kuwakwepa...hehehe
 
Nisiwahi sikia mtu hapa Jf akisema eti Watanzania ni wakarimu. Afadhali sisi Wakenya hatufichi ukabila na matatizo mengi tuliyo nayo, tunayakubali na hatujifanyi kuwa wakarimu. Hii unafiki ya Watanzania imeanza kujulikana. Eti mtu hapo Dar mkahawani anasema " naomba soda" unaweza dhani ni mkarimu kumbe ni jitu lenye roho ngumu kama mawe. Afadhali Mkenya hafichi kichwa ngumu chake. Mkenya anasema "nipatie hiki, nipatie kile" kwa sababu pesa ni yake. Wacheni kutumia maneno ya heshima huku roho ni chafu. Xenophobia muwache.
 
Tatizo wanaijeria matapeli, ni vigumu kuwaamini, hao maofisa waliogopa kupoteza kazi

Tetea ukitumia ubongo sio kuandika andika tu ilmradi, hakuna aliye na tabu kuhusu sheria yenu hiyo ya kushtukiza, tatizo mnakurupuka na kuendeshwa kwa visasi. Hamjatolea taarifa popote iwe kwenye website au hata kwa mawakala wa usafiri/booking agents wala hata mashirika ya ndege.
Sasa Mnaijeria anapofanya utafiti kuhusu uhitaji wa visa ya kuja Tanzania, kwenye mifumo yote ya hayo mashirika inaonyesha wanapokea visa on arrival, kumbe sheria mumebadilisha bila kumtaarifu yeyote halafu mnatokwa mipovu wakati wanawasili. Suala sio kuwaamini au vinginevyo, hoja ni kwamba mtu kaja kwa kufuata taratibu mlizoziweka kwenye tovuti zenu halafu wanafika na kukuta hali ni tofauti na hakuna anayewapa maelezo ya kueleweka, kila mtu anawakwepa.
 
Naona ikiwa kibarua kigumu sana kuwatetea hawa wanigeria. Hawa jamaa ndio 'defination' kamili ya hayawani. Wao wenyewe ndio huwa wanajichafulia jina kwa vitendo vyao vya ajabu ajabu. Yaani uhuni wao hata wale wahuni kupindukia hapa Africa hawawezi ufikia. Nigeria wananyofoana hadi viungo vya mwili kisa utajiri. Ukiwa na jirani mnigeria hata mmoja tu huwezi ishi kwa amani tena. Hata kupokea simu tu huwa wanaongea kwa sauti ya juu utadhani wanahutubia umati. Pumbavu zao hao majamaa, hata Kenya pia tunafaa tuwabane wasije wakatuletea huo upuuzi wao huku.
 
Naomba waziri Lugola afanyie kazi maana wafanyakazi wa uhamiaji ndiyo zao !!!!!
 
UNA MUDA GANI UHAMIAJI AU UMESTAAFU?
 

No xenophobia in tz
Nigerians are not good not only to tz but also to everyone.
Can you guyz put advertisements here for welcoming nigerians to your Nice Kenya country?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…