Watanzania mjifunze kuheshimu watu wa aina yetu. Nimemwadhibu huyu bwana mdogo

Kiduku Lilo, nimeshia hapa kusoma kwani nimeokota point muhimu[emoji116]

(Kwa hiyo mwaka 2020 tujipange ndugu zanguni huu ndo muda wa kuanza mashambulizi tusisubiri dk za mwishoni.ukifunga mabao kadhaa then unabaki kulinda ushindi na kucheza mpira kwa ku relax. Haya maisha jitajidi uwe na viwango.acheni tabia ya kulinganisha kila kitu.)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mekupa like ya 30, ila sijasoma
 
Mkuu tunaomba uje utie neno hapa...

 
Dah, by the way ni kweli Tutafute Fedha Haya mambo ya kuwaza Kununua tu vyombo vya usafiri Sijui (vitz, ist, premio, et al) sio poa Lazima tuwe na malengo makubwa kununua Magari Kama Range Rover Vogue nk, kujenga mijengo ya kuanzia milioni 500 kwenda juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…