Watanzania mlimchagua Magufuli katika Ulimwengu wa Rohoni toka enzi za JK

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Chaguo la watanzania katika ulimwengu wa roho ni Rais Dokta.Joh Pombe Magufuli.

Katika ulimwengu wa rohoni watanzania mlimchagua Magufuli toka Jk akiwa madarakani..

How? Majibu haya hapa.

Hivi ndivyo ulimwengu wa rohoni unavyo fanya Kazi. Nitaelezea Kwa mifano moja Kwa moja.

1. MAMA WA KAMBO UKIWA UNAMTESA SANA BINTI WA KAZI unakuwa unapeleka taarifa katika ulimwengu wa roho kwamba mwanamke anae ishi kwenye nyumba mbali na wazazi wake anatakiwa kuteswa na kunyanyaswa. Mabinti zako wakija kuolewa na wao watakuwa wanateswa na kunyanyaswa sana na Waume zao. Angalia wanawake wanao teswa na kunyanyaswa Sana na Waume zao wengi wanatoka kwenye familia zilizo kuwa na madada WA KAZI ambao walikuwa wananyanyaswa.

2. MKE UKIMUUA MUMEO ILI UPATE MALI unakuwa unapeleka taarifa kwenye ulimwengu wa roho kwamba katika familia yako " mume" Kwa maana ya husband material haitajiki. Mume mwenye kuweza kupata mali na kutunza familia haitajiki.

Matokeo yake watoto wako wa kike hawato olewa na wakiolewa wataolewa na " Wavulana" na sio " mume" na kama Una vijana WA kiume basi katika maisha Yao hawawezi kuja kuwa " husband material" na hata ikitokea wameoa hawawezi kupata mali Wala kujenga na binti zako hawawezi kuolewa na Mwanaume mwenye Mali Kwa sababu katika familia yako kitu kinacho itwa " mume mwenye Mali" hakihitajiki.

Mifano IPO mingi sana. Back to our topic.

Kikwete alikuwa mpole Sana na aliwalea sana watanzania. Matokeo yake mkaanza kumchezea chezea na kumuita majina mara dhaifu etc.

Hamkuishia hapo mkaanza na kuandamana mitandaoni kwamba mnataka Rais Mkali, anae chukia ufisadi Kwa vitendo, mwenye msimamo na anae weza kusimamia rasilimali zetu.

Fast foward 2015 MWENYEZI Mungu kawapa Rais mwenye sifa zile zile mlizo zitaka.

# Magufuli NI chaguo la Watanzania katika ulimwengu wa roho. Ulimwengu wa roho ndio unao tawala ulimwengu wa nyama.

NI vigumu Sana kushindana na mtu ambae tayari alisha shinda na kuchaguliwa katika ulimwengu wa roho.

Wapinzani huu ndio muda wenu wa kujifunza namna ya kufanya siasa zenu bila kuingilia utaratibu WA Rais Magufuli Kwa sababu Magufuli amekuja kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu and he really mean business.
 
Ukisikia ukhanithi ndio kama huu ulioandika

"Bandugu bwaga manyanga ayaokote magufuli" - Roma
Ila nyinyiemu hawana aibu kabisa
 
Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
 
Tena mlisema mie mpole, sasa anakuja mkali. Na ameshaanza kutema checheee -
Jakaya

Bora akili za Robert Amsterdam kuleta ajenda ya tulalane wanaume,shame on you SODOMY
Ungekuwa na akili usinge ibiwa Kura. Mjinga mjinga mmoja Tu wewe
 
Walitaka chai ya Moto leo wanalalamika wanaungua. He! Sasa kumbe walitaka chai ya Moto iwatekenye? Sometimes watz wanakuwaga na akili kama matoto matoto
Ukiwakumbusha wanaanza kutukana
 
Back
Top Bottom