Uchaguzi 2020 Watanzania mmejiandaaje kuhimili visasi kama mtarudia kosa? Nafasi pekee ya kuepuka visasi ni Oktoba 28, nje ya hapo mmekwishaa!

Huu Uzi kwani hukuuleta mwaka 2015? Too late Sasa jiwe limeshajichimbia mizizi Tena linaweza tawala milele.
 
Hata graduates wa 2015 walijitia kiherehere kumshabikia lowasa,hiiiiiii aliwambia subilini kwanza mwezi mmoja niondoe wafanyakazi hewa nafasi zenu zipo hadi leo mwezi mmoja haujaisha!! Ukweli nikwamba uchaguzi huu ni sawa na kupigana na nyoka aina ya cobra. Yani akikushinda tu wafaaaaa!!
 
Hii kitu isipite bila kuonwa na wazee wa kazi wafuatao kwa uchache maana siwezi kuwa tag wote.
BAK ,Mshana Jr, Elli Mshana ,Molemo , G Sam Mmawia zumbemkuu Mwanahabari Huru barafu na wengine wengi.
 
Huyu bwana ni mtu katili na hafai hata kidogo kuwa kiongozi.Inavyoonedha watu wa Kagera wanamfahamu vizuri maana wameonesha kumdisi live,kumbe hata masimango ya kipindi Cha tetemeko ni muendelezo wa tabia zake .
Bahati nzuri mdomo wake huwa hauna break na kila mtu amemsikia akitoa vitisho na kueleza wazi hataleta maendelea in case akipita kwenye majimbo ambayo watachagua upinzani.Huwa na mashaka Sana na utanzania wake,eti huyu ndio anapigana kuzuia rushwa.Sijui hata wakuu wa taasisi nyeti wanamkumbatia kwa sababu ipi hasa.Ila to be honesty huyu jamaa akipita iwe kihalali au hapana atasaidia Sana kuangamiza chama chao na akithubutu kubadili katiba anaweza leta vurugu kubwa,huu ni uzi wa Pili umeandikwa kwa tafadhari ya mambo yanayohusu Magu.
 
Akili zimewarudi
 
Awamu ijayo akishinda itakuwa ya visasi over hii inayoisha!
watavurumishwa watu we acha tu! kuna kanda/makabila yatazidi kuwekwa mbali sana! wengine tulishazoea 🤣
 
Safari hii mtalimia kucha atakuteseni atakuumizeni atakusomesheni herufi baada ya kukusomesheni namba sababu haitaji Tena kura zenu msipomtoa October atoki Tena atabadili katiba sababu hawezi ishi bila kuabudiwa.
Mwenye masikio na asikie tabia

Kwenye Red nime kuelewa sana Mkuu ,na huyu Mtu yupo hivyo.Hebu ona kauli kama hizi 👇👇
 
Nimesoma pumba zako zoote na kugundua huna akili, ubongo wako umujaa manailoni.

Yaani mbunge anaweza kuhamisha coordinates za vijiji bila serikali na waziri wa ardhi kujua?

Jinai haina mwisho, kama huyo kijana alipokea rushwa mil 60 unamfahamu kwa nini usipeleke hili suala Takukuru,na ulisubiri mpaka JPM awe rais ndio useme. Wewe ni Muongo.

Uzandiki unaouneza hapa hauna faida kwa watanzania ambao wameshuhudia,barabara,shule,vituo vya afya,hospital na mv Victoria hapa kazi tu inafanya kazi.

Nakushauri chukua upupu nenda chooni kachambie huu upuuzi ulioandika ukitumia na upupu pia.
 
Mmekwisha nyie wahalifu, kama miaka mitano hatujaisha sasa kitatumaliza nini?
Wale wezi ambao mna matumaini ya kurudia hali zenu za wizi ndo mtaisha kabisa
 
Kweli tunaye mtu wa hovyo na hatari sana kwa nchi yetu tuhakikishe anaondoka October la sivyo maisha yatakuwa hovyo ni mtu katili sana.
Tutalimia meno.
Daaah, jamaa kumbe Mhalifu sugu...sema Pipooooz Power itamfurumusha safari hii, akileta kiburi pacemaker inafyatuka
Hayo meno still yapo tu 5 yrs now?
Mtalimia kucha this time
Mkuu huyu inaonekana kashazoea figusi za kupita bila kupingwa mfano mzuri mwaka huu fomu ya uraisi ilitoka moja tu.
Hapo nimekupata sana mkuu.
Figisu za kuvuruga chaguzi hazikuanza Jana, biharamulo walimkataa akapita Chato kibabe kwa kumzuia mgombea wa upinzani asirudishe formu.
So yote wayafanyayo wasimamizi wa uchaguzi kuvuruga chaguzi Ni kopi na paste.
Mimi ninaomba tarehe 30 mwezi wa kumi urudi hapa jukwaani!
 

UMEANDIKA UTOPOLO TU
2020-2025 NI JPM TENA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…