Watanzania mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda na mnaona zinawafaa?

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali yake binafsi na chama!

Hivi kweli wasomi wazima mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda ambazo ni hand to mouth siku ukiugua unakufa mana hakuna backup yoyote.

Mungu atunusulu
 
Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mzidi huyu mualimu anae pokea 500,000 kwa mwezi na ana kazi kibao anafanta masaa 8 kwa siku hana usafiri hana allowance yoyote.
 
Uvccm hao!!
 
Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mazidi huyu mualiamu anae pokea 500,000 kwa mwezi.
We huna akili. Mwl hata akipata laki moja Bado humfikii. Yule ana mafao akifikisha miaka sirini, Hana stress kwamba kamanasipopata wateja basi atalaalla njaa, ana uwezo wa kukopa bank mpaka mil 10 mana ualimu ni fixed employment. We ukienda bank utanyomwa. Mwl ana nhif, ana chf nk. We ukiumwa wiki tu kila kitu kinakufa.
 
Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mzidi huyu mualimu anae pokea 500,000 kwa mwezi na ana kazi kibao anafanta masaa 8 kwa siku hana usafiri hana allowance yoyote.
Hivi ulikosa ajira kwenye viwanda vile jiwe alisema alifanikiwa zaidi ya miliyoni moja wakati wautesi wake?? Kama kweli ulishidwa kufanikiwa na ukaishia kwenye bodaboda wewe ni mjinga na pumbavu zako.
 
We huna akili. Mwl hata akipata laki moja Bado humfikii. Yule ana mafao akifikisha miaka sirini, Hana stress kwamba kamanasipopata wateja basi atalaalla njaa, ana uwezo wa kukopa bank mpaka mil 10 mana ualimu ni fixed employment. We ukienda bank utanyomwa. Mwl ana nhif, ana chf nk. We ukiumwa wiki tu kila kitu kinakufa.
Unafikiri hayajui haya!

Hapo anatania tu.

Kaa na boda boda yeyote muulize kama anaifurahia kazi yake.

Hakuna hata mmoja anayefurahia kwa dhati kutoka moyoni.

Boda yoyote akipata mchongo wa mana anaachana na kazi ambayo mda wowote jina linabadilika na kuwa marehemu.
 
Vipi wachimba madini wangapi wana matatizo ya mapafu, migongo na macho uzeeni.

Makuli wa mizigo au watu wanaofanya kazi za kubeba vitu vizito wangapi wanapata matatizo ya kiuno na migongo uzeeni; Tanzania ukimuuliza mwajiri kama anatoa manual handling course sijui ata kama anaielewa.

Vipi maofisini kuna sheria za ergonomic watu kutumia vifaa sahihi.

Vipi drink driving zinauwa watu wangapi kwa mwaka.

Madereva barabarani wanauwa watu wangapi kwa sababu ya fatigue.

Ni hivi Lema kukaa ulaya mara hii asijifanye ame sahau hii ni moja ya nchi maskini.

Kuna sehemu nyingi tu za ajira zenye madhara ata viwandani na maeneo watu wanavuta fumes za viwandani zenye madhara luluki.

Ajikite na sera za kuongeza ukuaji wa chumi, kutengeneza opportunity za ajira, kupatikana kwa mitaji mikubwa, mazingira mazuri ya kodi kuvutia biashara mpya, etc.

Watu wakishakuwa na choices awawezi shiriki katika shughuli zenye hatari kwao na kama hizo kazi awazipendi kama kuna sehemu zingine za vipato halali.

Lakini kusagia shughuli za watu ambao awana option and limited life chances huo ni ushamba, wengine ni wasomi na wanaendesha boda-boda kwa sababu ajira hakuna.
 
Vipi wachimba madini wangapi wana matatizo ya mapafu na macho uzeeni.

Makuli wa mizigo au watu wanaofanya kazi za kubeba vitu vizito wangapi wanapata matatizo ya kiuno na migongo uzeeni; Tanzania ukimuuliza mwajiri kama anatoa manual handling course sijui ata kama anaielewa.

Vipi maofisini kuna sheria za ergonomic watu kutumia vifaa sahihi.

Vipi drink driving zinauwa watu wangapi kwa mwaka.

Madereva barabarani wanauwa watu wangapi kwa sababu ya fatigue.

Ni hivi Lema kukaa ulaya mara hii asijifanye ame sahau hii ni moja ya nchi maskini.

Kuna sehemu nyingi tu za ajira zenye madhara ata viwandani na maeneo watu wanavuta fumes za viwandani zenye madhara luluki.

Ajikite na sera za kuongeza ukuaji wa chumi, kutengeneza opportunity za ajira, kupatikana kwa mitaji mikubwa, mazingira mazuri ya kodi kuvutia biashara mpya.

Watu wakishamuwa na choices awawezi shiriki katika shughuli zenye hatari kwao na kama hizo kazi awazipendi.

Lakini kusagia shughuli za watu ambao awana option and limited life chances huo ni ushamba, wengine ni wasomi na wanaendesha boda-boda kwa sababu ajira hakuna.
Hizo zote siyo kazi za kujivunia Bali ni failure ya serikali na inapaswa isikitike kwa hilo
 
Sasa solution ni kuwasimamga vijana kuacha na si ajabu kuongeza vibaka mtaani au kutengeneza mazingira ya kuweza kuwa shawishi kuziacha kwanza?

Hiyo sio conundrum ya ‘kuku na yai’ kipi kimetangulia. Jibu ni rahisi tengeneza mazingira ya watu kupata ajira mbadala kwanza, watu wataachana na shughuli ambazo wanadhani ni hatari kwao wenyewe.

Lakini kushupaa kukejeli namna watu wanavyotafuta kipato halali bila ya uwepo wa alternative za kuwapeleka ni ulimbukeni kwa upande wake Lema.
 
Sasa solution ni kuacha, au kutengeneza mazingira ya kuweza kuziacha.

Hiyo conundrum ya ‘kuku na yai’ kipi kimetangulia. Tengeneza mazingira ya watu kutengeneza ajira mbadala, watu wataachana na shughuli ambazo wanadhani ni hatari kwao.

Lakini kushupaa kukejeli namna watu wanavyotafuta kipato halali bila ya uwepo na alternative za kuwapeleka ni ulimbukeni wa Lema.
Ccm itoke madarakani mana imeshindwa vitu vidogovidogo wawapishe wanaoweza
 
Kuna argument ya CCM kushindwa, lakini kuwapa watu wasiokuwa na majibu ya hizo changamoto wanazolalamikia ni hatari zaidi.
 
Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mzidi huyu mualimu anae pokea 500,000 kwa mwezi na ana kazi kibao anafanta masaa 8 kwa siku hana usafiri hana allowance yoyote.
Kwa nini usijilinganishe na watumishi wengine wanaopokea laki 4?
Huu ni moja ya ujinga wako.
Then, utaifanya hii kazi mpaka lini?.
Je,unaweka akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii?.
Unaweza kukopesheka na taasisi za kifedha?.
Una bima ya afya?.
 
Kuna argument ya CCM kushindwa, lakini kuwapa watu wasiokuwa na majibu ya hizo changamoto wanazolalamikia ni hatari zaidi.
Sometimes trial and error is good when the situation is alarming
 
Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali yake binafsi na chama!

Hivi kweli wasomi wazima mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda ambazo ni hand to mouth siku ukiugua unakufa mana hakuna backup yoyote.

Mungu atunusulu
Mkuu, wewe ajira yako ya kuendesha gari la maji taka umeona ya maana?
 
Sometimes trial and error is good when the situation is alarming
Usually there is an inclination of understanding (fuzzy logic) on the method applied in ‘trial and error’ to maximise success; and not just reckless gambling in this instance giving a chance to a clueless clan to run a country.
 
If the model (party i.e ccm) at hand has failed, why still embracing it?
 
Back
Top Bottom