Una uhakika wa kuzeeka na miguu yote?Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mazidi huyu mualiamu anae pokea 500,000 kwa mwezi.
Uvccm hao!!Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali yake binafsi na chama!
Hivi kweli wasomi wazima mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda ambazo ni hand to mouth siku ukiugua unakufa mana hakuna backup yoyote.
Mungu atunusulu
We huna akili. Mwl hata akipata laki moja Bado humfikii. Yule ana mafao akifikisha miaka sirini, Hana stress kwamba kamanasipopata wateja basi atalaalla njaa, ana uwezo wa kukopa bank mpaka mil 10 mana ualimu ni fixed employment. We ukienda bank utanyomwa. Mwl ana nhif, ana chf nk. We ukiumwa wiki tu kila kitu kinakufa.Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mazidi huyu mualiamu anae pokea 500,000 kwa mwezi.
Hivi ulikosa ajira kwenye viwanda vile jiwe alisema alifanikiwa zaidi ya miliyoni moja wakati wautesi wake?? Kama kweli ulishidwa kufanikiwa na ukaishia kwenye bodaboda wewe ni mjinga na pumbavu zako.Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mzidi huyu mualimu anae pokea 500,000 kwa mwezi na ana kazi kibao anafanta masaa 8 kwa siku hana usafiri hana allowance yoyote.
Unafikiri hayajui haya!We huna akili. Mwl hata akipata laki moja Bado humfikii. Yule ana mafao akifikisha miaka sirini, Hana stress kwamba kamanasipopata wateja basi atalaalla njaa, ana uwezo wa kukopa bank mpaka mil 10 mana ualimu ni fixed employment. We ukienda bank utanyomwa. Mwl ana nhif, ana chf nk. We ukiumwa wiki tu kila kitu kinakufa.
Hizo zote siyo kazi za kujivunia Bali ni failure ya serikali na inapaswa isikitike kwa hiloVipi wachimba madini wangapi wana matatizo ya mapafu na macho uzeeni.
Makuli wa mizigo au watu wanaofanya kazi za kubeba vitu vizito wangapi wanapata matatizo ya kiuno na migongo uzeeni; Tanzania ukimuuliza mwajiri kama anatoa manual handling course sijui ata kama anaielewa.
Vipi maofisini kuna sheria za ergonomic watu kutumia vifaa sahihi.
Vipi drink driving zinauwa watu wangapi kwa mwaka.
Madereva barabarani wanauwa watu wangapi kwa sababu ya fatigue.
Ni hivi Lema kukaa ulaya mara hii asijifanye ame sahau hii ni moja ya nchi maskini.
Kuna sehemu nyingi tu za ajira zenye madhara ata viwandani na maeneo watu wanavuta fumes za viwandani zenye madhara luluki.
Ajikite na sera za kuongeza ukuaji wa chumi, kutengeneza opportunity za ajira, kupatikana kwa mitaji mikubwa, mazingira mazuri ya kodi kuvutia biashara mpya.
Watu wakishamuwa na choices awawezi shiriki katika shughuli zenye hatari kwao na kama hizo kazi awazipendi.
Lakini kusagia shughuli za watu ambao awana option and limited life chances huo ni ushamba, wengine ni wasomi na wanaendesha boda-boda kwa sababu ajira hakuna.
Sasa solution ni kuwasimamga vijana kuacha na si ajabu kuongeza vibaka mtaani au kutengeneza mazingira ya kuweza kuwa shawishi kuziacha kwanza?Hizo zote siyo kazi za kujivunia Bali ni failure ya serikali na inapaswa isikitike kwa hilo
Ccm itoke madarakani mana imeshindwa vitu vidogovidogo wawapishe wanaowezaSasa solution ni kuacha, au kutengeneza mazingira ya kuweza kuziacha.
Hiyo conundrum ya ‘kuku na yai’ kipi kimetangulia. Tengeneza mazingira ya watu kutengeneza ajira mbadala, watu wataachana na shughuli ambazo wanadhani ni hatari kwao.
Lakini kushupaa kukejeli namna watu wanavyotafuta kipato halali bila ya uwepo na alternative za kuwapeleka ni ulimbukeni wa Lema.
Kuna argument ya CCM kushindwa, lakini kuwapa watu wasiokuwa na majibu ya hizo changamoto wanazolalamikia ni hatari zaidi.Ccm itoke madarakani mana imeshindwa vitu vidogovidogo wawapishe wanaoweza
Kwa nini usijilinganishe na watumishi wengine wanaopokea laki 4?Tupe ajira mbadala mimi boda boda yangu inanipa 25000 kila siku kwa wastani na mzidi huyu mualimu anae pokea 500,000 kwa mwezi na ana kazi kibao anafanta masaa 8 kwa siku hana usafiri hana allowance yoyote.
Mkuu, wewe ajira yako ya kuendesha gari la maji taka umeona ya maana?Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali yake binafsi na chama!
Hivi kweli wasomi wazima mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda ambazo ni hand to mouth siku ukiugua unakufa mana hakuna backup yoyote.
Mungu atunusulu
Hujaelewa nini? Au ulienda shule kusomea ujinga?Sasa unaongea Nini. Mitanzania mingine bwana
Usually there is an inclination of understanding (fuzzy logic) on the method applied in ‘trial and error’ to maximise success; and not just reckless gambling in this instance giving a chance to a clueless clan to run a country.Sometimes trial and error is good when the situation is alarming
If the model (party i.e ccm) at hand has failed, why still embracing it?Usually there is an inclination of understanding (fuzzy logic) on the method applied in ‘trial and error’ to maximise success; and not just reckless gambling in this instance giving a chance to a clueless clan to run a country.